Aliyeelewa hapa anisaidie na mimi kuelewa

Jiwe alichukua mikopo mingi ya kibiashara ambayo huwa na riba kubwa sana.

Mama yuko sahihi kulalamika. Jiwe alikuwa mbishi sana alipokuwa akiambiwa kuepuka mikopo hiyo.
 
Ukimfwatilia kwa makini mama utang'amua kuwa hakustahili hata kuwa mkuu wa wilaya

Hutuba zake zimesheheni ghuluu na ghishi porojo mtindo mmoja
Hana tofauti na wa mama wa kijijini kwetu!
 
Serikali zilizopita ni za chamagani? Alikuta mkopo kiasi gani na ameuongeza Kwa kiasi gani? Kiongozi anatakiwa mtu shapu anayeijya pesa na njia zake Sasa huyo amefungiwa ndani atajuaje uchumii,?
 
Samia kakuta mikopo mikubwa ya kibiashaa yenye riba kubwa aliyokopa jiwe. Hiyo riba ndiyo inaoongezeka kwa kasi na kupelekea deni la taifa kuongezeka.
 
Ukimfwatilia kwa makini mama utang'amua kuwa hakustahili hata kuwa mkuu wa wilaya

Hutuba zake zimesheheni ghuluu na ghishi porojo mtindo mmoja
Wewe ni mtu wa 20 kusema hivyo wakiwemo na MA RC watatu
 
Samia kakuta mikopo mikubwa ya kibiashaa yenye riba kubwa aliyokopa jiwe. Hiyo riba ndiyo inaoongezeka kwa kasi na kupelekea deni la taifa kuongezeka.
😆😆😆😆
 
Kwa vile kuishi ni kujifunza basi na mimi sitachoka kujifunza

Naomba aliyeelewa hoja hii anieleweshe

View attachment 3386074
Sema nini, sisi wengine huwa tuna majina madogo humu hivyo huwa tunapuuza kutoa hoja, lakini kumbe ningechangia hoja kipindi cha Jiwe. Naomba usome mpaka mwisho hoja yangu!

Natoa uzoefu kupitia habari na mijadala ya kipindi cha Jiwe kuhusu mikopo mana mimi ni kijana naifuatilia sana hii nchi yetu!

Ipo hivi kama mnakumbuka, Jiwe alikuwa anakopa hadi mikopo ya kibiashara ilimradi miradi iende, punda afe mzigo ufike. Jiwe alikuwa ana njia zake za kukusanya hela zikiwemo za kutumia nguvu kwa matajiri. Wafanyabiashara watakuwa wanajua hili. Kweli Jiwe angekuwa hai, miradi mingi ingekuwa imekamilika kwa sababu alikuwa anaminya mapapa na watumishi wa serikali kuhusu madaraja. Jiwe angekuwa hai deni lisingepaa kwa zile mbinu zake za kudhibiti hela.

Katika mikopo hiyo ya kipindi cha Jiwe, kulikuwa na mikopo ya kibiashara ambayo inaanza kulipwa ndani ya muda mfupi baada ya kupewa mkopo, tofauti na ile mikopo ya IMF na World Bank ambayo unaweza kuanza kulipa baada ya miaka hata mitano.

Sasa mama alipoingia akataka kuwafurahisha mapapa na watumishi wa serikali. Ghafla, kuna mikopo ile ya kibiashara naona ikatakiwa ianze kulipwa. Utata ndio unaanza kwa sababu tayari Jiwe alikuwa ameishabadilisha mfumo wa ukusanyaji na matumizi ya pesa ya serikali. Mama kaja na ishu za madaraja ya watumishi wa serikali, mara kula kwa urefu wa kamba. Shida ikaanza kwani kuna mikopo iliyokopwa na Jiwe ilikuwa ni ya kibiashara na sasa ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba, je, pesa inatoka wapi zaidi ya kukopa kuhamisha deni?

Nahisi ikawa ni kukopa huku, kulipa kule, kukopa kule, kulipa huko. Je, hata hicho kinachokopwa kinafika kama kilivyo? Kwa wale ambao walishawahi kukutana na changamoto ya madeni mengi, mwisho wake ni aibu na anguko! Je, tutegemee kutokea kama Sri Lanka?

Nafasi bado ipo ya kurekebisha, piga pini mapapa yasile kwa urefu wa kamba. Punguza matumizi ya serikali mfano kununua MAVIETI, unanunua Landcuiser zile za zamani tu! Wekeza kwenye kilimo na viwanda vidogo vidogo ili kuzalisha ajira.
 
Ukileta hoja ya maana hatubagui maarufu wala asiye maarufu
 
Kwa vile kuishi ni kujifunza basi na mimi sitachoka kujifunza

Naomba aliyeelewa hoja hii anieleweshe
Bi chura kiziwi hataki ionekane yeye pekee ndo mkopaji... Wakati ukweli ni kwamba ndani ya miaka 4 ya awamu yake serikali imekopa kupitiliza mikopo yote ya awali.
images (75).jpeg
 
Kitu gani hueleeewi? Kama awamu zilizopita zisingekopa sana (47 trn) deni letu la awamu hii ya sita lingekuwa kidogo sana- kama vitrilioni 60 tu.

PS
Kama hesabu hujui nenda memkwa.
Bi chura hata memkwa alifeli! Akili ndogo ni kitendo cha kuilaumu 47 uliyoikuta na ukaongezea 70 zaidi.
Badala ya kukaumu awali angeonesha alivyolipa madeni aliyoyarithi badala ya kuongezea deni kwa kukopa kwa Fujo!
 
Kitu gani hueleeewi? Kama awamu zilizopita zisingekopa sana (47 trn) deni letu la awamu hii ya sita lingekuwa kidogo sana- kama vitrilioni 60 tu.

PS
Kama hesabu hujui nenda memkwa.
😆😆😆😆
 
Samia kakuta mikopo mikubwa ya kibiashaa yenye riba kubwa aliyokopa jiwe. Hiyo riba ndiyo inaoongezeka kwa kasi na kupelekea deni la taifa kuongezeka.
Ujinga mtupu kusingizia marehemu ndokitu mnaweza!! Deni 2021 nasasa limejidabo kutokana na kopakopa kutaka kushindana na miradi Magu aliacha...no sense
 
Back
Top Bottom