Aliyebadilisha jinsia afariki dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Source: Dar leo
afisa uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili amethibitisha habari hizo kuwa Anti Aluu,amefariki dunia leo saa 1 na dk 05 asubuhi.
 
Mungu amhukumu kulingana na matendo yake ya mwisho. RIP Abdalah aka Victoria or Aluu

Kwa ufupi tu huyu jamaa ni mchanganyiko wa damu ya kigeni na uchaga, kwa jina anaitwa Abdalah, alikuwa Baharia. aliachiwa nyumba ya urithi na wazazi wake kisha akaiuza na kutimkia CHINA alikoenda kubadili jinsi kisha akaliendekeza libeneke. Soko lilipoisha Uchina akarejea hapa Bongo. Inaelekea walimbaka na kumfanyia kitu mbaya. Hali yake ilikuwa ni mbaya sana kiasi kwamba asingeweza kupona.

Inawezekana katika dakika zake za mwisho amemrudia muumba wake.... hatuwezi kutoa hukumu. RIP
 
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo kujenga Mbezi Beach.
2. Hakuwahi kuwa Baharia maishani mwake bali mfanyakazi wa ndege ( Steward) ATC.
3. Hakubakwa bali alijisumu ( commit suicide thru self -poisoning)
Samahani lakini ndiyo ukweli.
 
Hayo ndiyo mambo ya kuiga hata wale wanaocheza zile sinema za pono mara nyingi hujiuwa wenyewe wanapofika mahali na kujuwa hakua soko na mili yao haitamaniki tena Mungu atamlipa huyo jamaa kadri ya amali yake alivyo ichuma hapa duniyani
 
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo kujenga Mbezi Beach.
2. Hakuwahi kuwa Baharia maishani mwake bali mfanyakazi wa ndege ( Steward) ATC.
3. Hakubakwa bali alijisumu ( commit suicide thru self -poisoning)
Samahani lakini ndiyo ukweli.

Mkuu nashukuru kwa kuweka sawa mambo...tuendelee kumtendea haki
 
Ni fundisho kwa wanaoiendea njia yake!!!!

kifo cha aloo kimeniuma sana,sio kwamba nilikuwa nafurahia matendo yake hapana,bali ni kutokana na mpako wa mwenye nyumba yake na polisi wa Kawe wa kudanganya kuwa aliokotwa beach akiwa yupo hoi.ukweli ni kwamba huyu jamaa alichanganya madawa ambayo alikuwa ana ya jua mwenyewe,baada ya kuzidiwa alipiga kelele sana ambazo zilikusanya watu wengi eneo analoishi Kipongoso,baada ya hapo mwenye nyumba alipiga simu polisi na wakaja waka mchukua nakumpeleka mwananyamala hsptl baada ya hapo ndio tuna sikia habari za hajabu kuwa eti ameokotwa baharini wakati sio kweli.nahisi hapa kuna harufu ya kaufisadi wa mali zake jamani.wanaJF roho ina niuma sana maana mwenye nyumba wake ndio katengeneza dili hilo.
 
Siku za mwisho za uovu wa wanadamu tutayaona mengi ya ajabu!!!! Within a week madume jike mawili tiiiiiiiiiii chini, na wote vyanzo ni ufukweni mwa bahari!!! Huko Mbezi beach jamani wazazi na watoto wenu, fungueni macho!!!! Kuna mengi ya haya yatakuwa yanafanyika!!! Naomba Kova apeleke askari wawe wanafanya doria 24/7 vinginevyo kizazi chetu kinaishia huko maana nafikiri ni cheap hakuna gharama ya chumba, but is is too expensive to their lives!!!
 
Mwingine huyu piga namba hii Bado yuko Mbezi Beach! *****ni dume lakini sauti ya kike kabsa.
 
Last edited by a moderator:
Isije ikawa Aluu alikua wale wanawake ambao wapo 'trapped in a woman's body'. Yaani pamoja na features za kiume, alikua na tabia (mental, emotional) za kike kiasi ambacho alikua confuzzed awe mwanamke au mwanaume. Awe na uhusiano na m'ke au m'me. Mwishowe jinsia ya kike ikawa dominant akaamua kubadili jinsia miaka 10 iliyopita. Halafu tena baada ya kua mtu mzima akaji-re-examine akaona imezidi kumchanganya (male?female?male?) akamua kunywa sumu.
RIP Aluu
 
Huwa tunasoma habari ya sodoma na gomora kama hadithi vile, lakini ukikusanya matukio yanayo endelea siku hizi duniani, nahisi tofauti ni ndogo sana, isipokuwa tu matukio hayo hayajakusanywa na kuwekwa sehemu moja! Inatisha kwkweli.
 
Back
Top Bottom