Mchinjani dini gani?Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatili🥵🥵.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiì😳
Mchinjani dini gani?Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatili🥵🥵.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiì😳
Kwakweli Mungu atusaidie sana!Hiyo ni tip of Iceberg tu, ila sehemu kubwa ya unyama wanao fanyiana binadamu bado atajaiona kwa uhalisia wake.
Wanadamu ni zaidi ya wanyama.
NB: Wanawake muache tamaa, huyu dada angeamua kuridhika na kubaki home haya yasingemkuta.
Udini Tena 🤔Mchinjani dini gani?
Kuna mengi sana mfano Arab states wao kukuchinja ni suala dogo mno.Kwakweli Mungu atusaidie sana!
hawachukuliwi hatua yoyote nasikia nchi yao haina raisi tangu 2021 wanajiongoza tu na hayo makundi ndio yana nguvu kuliko serikali, yaani wamepost na bado wanatamba live huko tiktok hadi leoKilichofanyika hapa ni unyama/ukatili.
Wahusika wachukuliwe hatua.
Ila kama Kuna mwanaume ameshindwa kuangalia hizo video basi atafute kijora au sketi avae
Hayo yamefanyika mbele ya kamera wote tumeona,hawachukuliwi hatua yoyote nasikia nchi yao haina raisi tangu 2021 wanajiongoza tu na hayo makundi ndio yana nguvu kuliko serikali, yaani wamepost na bado wanatamba live huko tiktok hadi leo
Sahihi kabisa! Kheri kuridhika maana mafanikio ya wengi njia zake sio nzuri, ukijaribu tu kinakuramba! As long as unapata mahitaji yako ni bora ukaridhika tu..Kuna mengi sana mfano Arab states wao kukuchinja ni suala dogo mno.
Ukienda Ethiopia ndo mbaya zaidi, Somalia nako ni hali ya kawaida.
Ni kama huyo bi chura hapo Tz.
Binadamu wanyama.
Don’t negotiate with or admire someone’s wealth when you don’t even know where it came from.
Hapo Haiti kama tu raisi wao jovenel moïse walimpiga risasi akiwa nyumbani kwake.Sahihi kabisa! Kheri kuridhika maana mafanikio ya wengi njia zake sio nzuri, ukijaribu tu kinakuramba! As long as unapata mahitaji yako ni bora ukaridhika tu..
Sijui chanzo cha hayo yote ni nini aisee!😥Hapo Haiti kama tu raisi wao jovenel moïse walimpiga risasi akiwa nyumbani kwake.
Sidhani kama mauaji ya raia yatawashangaza.
Simply haiti is a nation where death has become too familiar, and blood speaks louder than mercy.
Wengi tu wameshindwa kuangalia hadi mwishoKilichofanyika hapa ni unyama/ukatili.
Wahusika wachukuliwe hatua.
Ila kama Kuna mwanaume ameshindwa kuangalia hizo video basi atafute kijora au sketi avae
Wycleaf Jean anagombea urais mara kadhaa lakini wanampiga chini, wanataka wajiendeshe wenyewe kimafiaSio kwa maana ya ubaguzi lakini kuwa makini sana unapo interract na watu walioshi katika mazingira ya kustruggle sana, Vita, majanga ya asili, ubaguzi na extreme poverty.
Mostly they are soulless.
Influencers wakubwa na wasanii/diaspora wa haiti wameizira nchi yao?
Hayo yamefanyika mbele ya kamera wote tumeona,hawachukuliwi hatua yoyote nasikia nchi yao haina raisi tangu 2021 wanajiongoza tu na hayo makundi ndio yana nguvu kuliko serikali, yaani wamepost na bado wanatamba live huko tiktok hadi leo
Ni vizuri utafute gauni uvae mkuu kama umeshindwa kuangalia hizo videoWengi tu wameshindwa kuangalia hadi mwisho
Hata mimi sijaweza kuangalia hadi mwisho
Ninao kaka zangu wameshindwa kuangalia.Hayo yamefanyika mbele ya kamera wote tumeona,
Ila hapa hapa Tanzania yanafanyika mengi na makubwa kulikoo Hilo sema hayafanyiki kwenye kamera
Ni vizuri utafute gauni uvae mkuu kama umeshindwa kuangalia hizo video
Duh wamezoea shida hao.Wycleaf Jean anagombea urais mara kadhaa lakini wanampiga chini, wanataka wajiendeshe wenyewe kimafia
Angalikuwa Aisha , propaganda za udini zingalikuwa kubwa. Lkn kwakuwa ni Tereza, husikiiUdini Tena 🤔
Mchinjaji anaitwa Aisha
Ni swala la mda tu acha waendelee kukaza mafuvuHaiti kawaida hiyo
Na kuna nchi fulani
Inafata mkumbo kama wa huko
Ova
Waisilamu mnapenda kulia liaAngalikuwa Aisha , propaganda za udini zingalikuwa kubwa. Lkn kwakuwa ni Tereza, husikii