Aliye chinjwa Haiti

Aliye chinjwa Haiti

Mnavyochat hapa kana kwamba mko kwenye kikao Cha familia kwamba wote tunajua kinaendelea kitu Gani.

Amechinjwa nani, Kwa makosa Gani?
Lini na wapi?

Kuna dada haiti alivujisha video za gang ambalo lilikua linatafutwa huyo dada alipelekwa na rafiki yake tu ambae alimuomba ampe connection za hela kufika rafik yake anauhusiano na magenge hayo ndo walimfanyia unyama kama adhabu
 
Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatili🥵🥵.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiì😳
Umebahatika?
Matumizi mabaya ya bahati!!!
 
Back
Top Bottom