Aliyechinjwa Haiti

Aliyechinjwa Haiti

Naomba ufafanuzi wa kilicho tokea hasa mpka sasa sijaelewa
Kuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we Google
1790973484210.png
 
Kuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we Google View attachment 3682730
Mualiko ulisababishaje sasa tuendelee kidogo
 
Sio kwa maana ya ubaguzi lakini kuwa makini sana unapo interract na watu walioshi katika mazingira ya kustruggle sana, Vita, majanga ya asili, ubaguzi na extreme poverty.

Mostly they are soulless.

Influencers wakubwa na wasanii/diaspora wa haiti wameizira nchi yao?
 
Back
Top Bottom