twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Salaamu wanajamvi,
Ikiwa leo ndio siku ile wanayoita ya wajinga duniani ilihali wote ni wajinga kila siku katika maeneo mbali mbali huku tukiendelea kujifunza.
Naomba nitoe angalizo leo kwamba mdomo huumba hivyo basi tuwe makini sana siku ya leo katika kutaniana.Nasema lazima tuwe na mipaka unakuta mtu anakwambia mama yako amekufa mara ooh baba yako kagongwa na gari mara oooh mke wako kazimia ghafla.Jamani tuwe makini na kauli zetu lolote linaweza kutokea ama mtu kupata presha au ilo jambo likatokea kweli kwako wewe msemaji au uliyemsemea kwani waswahili wanasema aliwazalo mjinga ndio linalomtokea.
Happy Fool's Day...!