Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Wezi walivamia zizi wakaiba ng'ombe aliyekuwa ananyonyesha na kumvua nguo zote mchungaji then wakamfunga mikono kwenye mti, mchungaji alipohojiwa alilalama akasema "kuiba ng'ombe haijanikera ila kuniacha uchi na ndama kuninyonya uume mpaka mbegu zote zimeniisha sijui ntamweleza nini mke wangu!