kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,682
- 3,066
tukio lingeuthibitishia uma bila mashaka kuwa yupo nyuma ya keyboard !!!Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…
Vipi mbona kimya mkuu harudi kutupa mrejesho na kututia moyo sisi tunaesubiria ahadi ya unabii!?