Alitamani awe nani huyu mtu?

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,493
Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana,
Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho ambacho hakina dhamani.

Swali la kujiuliza huyu alitamani awe nani haswa katika kufanikisha azima ya maisha yake ya ubunifu kama huu?
Mimi nimeipenda kazi hii sana hata kwa kuiona tu
 
Kipaji hiki .....nawaonaga hapa kwa office mafund welding wanapuyanga kwenye kuchora michoro ya mageti mpk wamkodi fundi
 
Ni bonge la kipaji sana kwa public
 
Ukiwaza mbali zaidi au nje box, kuna mtu anaweza akachukua wazo(concept) ya huyo msanii kisha akatengeneza kitu cha kutingisha dunia!

Hao nzi wanaweza wakafanyiwa sofiscation wakawa wanaruka kwa kuwa programmed au hata remotely controlled, wakabeba sumu na kwenda kumuangamiza adui akiwa amekaa au amelala au anahutubia wafuasi wake au vyovyote vile
 
Duuuh umezama mbali kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…