Alitalia/shefard one VS. Air force one

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,151
1,417
Shefard one ni ndege inayombeba baba mtakatifu ( PAPA) wa kanisa katoliki.

Hii air force one inajulikana kwa walio wengi.

Je ni ipi kati hizo ipo salama zaidi dhidi ya hatari zinazoweza kutokea,kama vile kutunguliwa n.k.
 
Air force one Ina ulinzi WA hali ya juu, Ina uwezo WA kukaa angani kwa siku kadhaa ili mradi inaongezewa mafuta ,Ni ikulu inayoruka.
papa hana ndege maalumu,ndege yoyote anayopanda huitwa shepherd one mfano ilipokwenda marekani alitumia Alitalia alivyorudi Rome alipanda American airline
 
Shefard one ni ndege inayombeba baba mtakatifu ( PAPA) wa kanisa katoliki.

Hii air force one inajulikana kwa walio wengi.

Je ni ipi kati hizo ipo salama zaidi dhidi ya hatari zinazoweza kutokea,kama vile kutunguliwa n.k.
Usahihi ni "Shepherd One" na siyo "Shefard One"
 
Back
Top Bottom