Unajuaje?Kakutafuta kwa sababu unamwanae
Na si kingine, labda aandae mazingira ya kupasha kiporo
Wazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado atakuwa anaumia kwasababu kuna vitu alishavizoea kutoka kwangu.
Tumebahitika kupata mtoto mmoja wa kike. Aliniambia tusitafutane lakini juzi ameulizia maendeleo yangu na ya mtoto.
Je, imekaaje hii?
Siku sio nyingi mtatianaWazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado atakuwa anaumia kwasababu kuna vitu alishavizoea kutoka kwangu.
Tumebahitika kupata mtoto mmoja wa kike. Aliniambia tusitafutane lakini juzi ameulizia maendeleo yangu na ya mtoto.
Je, imekaaje hii?
Habari za barakuda mkuuWazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado atakuwa anaumia kwasababu kuna vitu alishavizoea kutoka kwangu.
Tumebahitika kupata mtoto mmoja wa kike. Aliniambia tusitafutane lakini juzi ameulizia maendeleo yangu na ya mtoto.
Je, imekaaje hii?
Mna muda gani tangu mmpeane likizo.Ety eh ata mi naona mana aliniambia tusitafutane mi nimekausha kaanza mwenyewe kutuma text mana alinimbia mtoto akiwa na shida nimwambie maza ake sasa ananitafutia alijua mimi ntashindwa kuuchuna au.