Kuna mijitu mijinga inashindwa kutambua kwamba hii tz pamoja na rasilimali zetu nyingi tulizonazo zimeshindwa kutukomboa kwenye Lindi la umasikini, kutokana na kukosa watu wanaofikiri kwa vichwa mithili ya Albert kwa maendeleo ya wote ni hasara kubwa viongozi wetu wengi ni wabinafsi wanachoangalia ni matumbo yao tu