Alisema Albert Einstein mwaka 1950

Alisema Albert Einstein mwaka 1950

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
attachment.php
 

Attachments

  • 1403446857821.jpg
    1403446857821.jpg
    36.8 KB · Views: 5,000
Yap! Sasa si unaona hata malimbukeni wa siasa zetu wanadhani minara ya simu ndo maendeleo. Tatizo letu sasa ni jinsi ya kupata watu wenye akili kushika madaraka.
 
Aliiona Kesho, Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kuiona Kesho na sio hawa manabii njaa wanao tabili
 
Mkali wao huyo... Jembe. Namkubali vibaya mno...... Alishawahi kusema pia "imagination is better than knowledge"
 
Yaa jamaa ni genius watu wenye uwezo wa kuona mbali ni wachache sana hapa Duniani hasa wTZ wengi ubongo umehamia kwenye matumbo! anyway hata Mwalimu alijitahidi kuona mbali 'watu wakikosa mabadiliko ndani ya ccm watakwenda kuyatafuta nje ya ccm' 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm ' leo EL anawakimbiza ccm wamepoteana kama Blazil iliyopigwa goli 7-1 na Ujerumani.
 
mnasifiaaaa,ila mkiona quote zake zingine mtamponda sasa hivi....
 
Kuna mijitu mijinga inashindwa kutambua kwamba hii tz pamoja na rasilimali zetu nyingi tulizonazo zimeshindwa kutukomboa kwenye Lindi la umasikini, kutokana na kukosa watu wanaofikiri kwa vichwa mithili ya Albert kwa maendeleo ya wote ni hasara kubwa viongozi wetu wengi ni wabinafsi wanachoangalia ni matumbo yao tu
 
Back
Top Bottom