Alipovua tu....

Alipovua tu....

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Heshima kwenu wana JF.
Hii ilitokea maeneo ya gongo la mboto wakati jamaa alipokuwa anavua suruali na kuisachi ndipo akagundua imebaki shilingi 2000 akaenda kununua chipsi kavu na soda akala kisha akanywa maji akalala.
Story imeishia hapo.
 
Vituko anavyofanya huyo jamaa wa kwenye avatar(Sherrif Rango) yako na wewe sawasawa tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom