Alipopata habari za bin ldn.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alipopata habari za bin ldn....

Discussion in 'Jamii Photos' started by ALLEX, May 4, 2011.

 1. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  great-timing-photos06.jpg

  nikama anasema nilimshindwa huyu jibaba wa al q
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Pamoja na hamaki usoni lkn moyoni huwezi jua shangwe zake.
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mwanaume huyooooooooooooo
   
 4. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  are u sure?
   
 5. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haha..mpaka akageuza spika na 'risiva'!..lol!...hiyo pc huko nyuma imeharibu u'photoshop'!
   
 6. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Inaonyesha msisitizo mkuu alivyochanganyikiwa, mpaka amegeuza simu kichwa chini miguu juu.
   
 7. JANGWANK

  JANGWANK Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu BUSH ***** tu!
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  osama na bush ndio wale wale ndio maana alipoambiwa wala hakwenda
   
 9. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  anashangaa jinsi allah alivyomdhaifu kiasi cha kushindwa kumlinda kamanda wake wa jihada!!..... lol
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ni mwanamme kweli? Allah hahitaji kamanda hapa duniani. Waijuwa maana ya Jihad? Au wajisemea tu? Wafikiri Allah ni mungu aombae kusaidiwa? Au atakae msaada?

  Allah akisema "kuwa" huwa. Na kama Binladen ni ishara ya uIslaam basi imetimia. Dollar Trillion 3, Maelfu ya maaskari, mamilioni ya wafuasi na vibaraka kama wewe, kwa ajili ya mtu mmoja tu! Hayakushangazi hayo? Ngoja waje wengine kumi tu. Utajiju. Looo.
   
 11. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  1. Kwani kuwa wanaume au mwanamke kuna tofauti gani katika kuchangia hoja? Je una mawazo potofu kuhusu wanawake? inawezekana allah amekufundisha kuwadharau

  2. Kama allah asingekuwa anahitaji msaada basi wafuasi wake wasinge ua watu ambao hawamwamini au wale wanaoandika ukweli juu yake kama Salmin Rushidie, hiyo kazi angeifanya yeye mwenyewe.

  3. Ishara ya uislam ni ulaghai, uzushi, chuki, kuchoma makanisa, kuua watu wasio na hatia na kuchukua mali zao. Pia ni kubaka wasichana wadogo wadogo hata wakubwa na kujimwagia misifa kibao dhidi ya dini zingine.

  4. "Dollar Trillion 3, Maelfu ya maaskari, mamilioni ya wafuasi na vibaraka kama wewe"....... Aha haa aha haaaa... Mkuu kama hiyo ndo gharama ya kumshinda allah basi yuko cheap!!!!!!
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mpuuzi tu
   
 13. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Mrdash1 unashangaa Mungu kushindwa kumlinda bin Laden?hukushangaa aliposhindwa kumlinda mwanae wa pekee?
   
 14. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwana wake wa pekee ili kila amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele
   
Loading...