Aliponiona si akanikumbuka

Jamani mbona mnaanza kunitishia sasa, hivi mnafikiri kufumuliwa jicho huwa ni kiwepesi wepesi tu

Mkuu shituka mapema. Hizi alert wanazokuambia members zina uhalisia. Jamaa atakubikiri 0713.
 
Naona uanze kutubu kabla hujajinyonga!! Hahahaaaaa
 
ah kaka kwahyo dem katoa nmba mwenyewe,,hivi wewe unahic jamaa aliinuka kwenda choon au lengo lake lilikuwa kukuonyesh bishtola yake?JiulizE
 
Huyo jamaa yupo humu jf,hakiyani atakupata tu
 


Kuna thread iliwekwa humu jamaa akiliwa kiboga kavu kavu na mijembe kama tatu hivi.R.I.P na sikia kwa mapenzi ya Mola jamaa kajiwahia nafasi. Mali ya mtu hatari.
Ila kwa sasa ukitaka wahi Rahatupu Blogspot utaikuta.
 
mkuu usikubali atakuleteaje dharau!!! demu akipiga siku hiyo hiyo hakikisha unamaliza na unamchora jina lako kwenye papuchi yake lazima akuelewe!!!! asa kumbe nn!!!!!!!!!!
ukikwepa bastola utakufa na ebola bora ufe huku umekula utamu usiopimika wananiuzi hawaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Huyo jamaa yupo humu jf,hakiyani atakupata tu

humu tupo ma great thinker tu wazembe wa akili hawapo humu!!! mwache mwenzio ale maini.......... nyie nini nyinyi!!!!!!!
 
Galadudu, tuipe jina hii stori maana episode zake zimekaa vizuri sana. Nasubiri part three.
 
Ningekuwa ni mimi, nisingejisogeza pale walipokaa bali ningemuonesha ishara huyo demu aelekee chooni alafu nikamfata huko nikamgegeda kamoja kakuleta heshima ndo nikachukua namba...kwani nina muda wa kupoteza mie!!

Umenikumbusha mbali kweli Mkuu watu mpo bar,manzi yupo na bwanaake afu shobo nyiiingi...anaenda toilet unaunga tella na yeye ana kuona ukiliunga akifika haingii anakujeukia anakutazama anarembua na kuchekacheka hovyo...unakamata "fursa Twen'Zetuuuu"
 

ushauri wa bure,tembea na k y jeri mana kifirooo kikarubu na wewe...
 
ulisema alikua na kale kakidude kiunoni nakwambia kama unataka akukumbke vizur this time na akuangalie kwa heshima tele neneda kampigie demu wake
ushauri: epusha shari mwanaharamu apite mwache jamaa na mdada wake maana siku nyengne kuna mtu ndio atakua kusimulia story yako sio wewe tene
 
Hivi ni kweli jamaa anakudharau au wewe tu unajishtukia?Ila ana mkwara balaa,ulivyoona 45.m caliber,bamia ikasinyaa!

Nadhani ulimaanisha 9mm caliber hiki ni kipenyo cha mtutu wa auto pistol nyingi za size ya kati...hiyo uliyotaja hata sijailewa 45m. caliber

All n all nahofia sana hitimisho la hii simulizi. Ila imenichekesha... Kwa jinsi mada ilivyo jaribu kuonyesha wanaume wanavyokerwa kudharauliwa na wanaume wenzao mbele ya KE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…