Aliponiona si akanikumbuka

Kwa hiyo imeshakuwa ni filamu sasa hii
Mkuu sio filamu nilianza pamoja na wewe kisa hiki kwahiyo sitaki kuishia kati nataka kufahamu itakuaje! maana lijamaa lina wivu sana, nalikumbuka hili boya mkuu
 
Si mbaya kwani jamaa alivyokuachia nafasi na kujifanya kwenda chooni ilikuwa ni tangazo kwako. Bastola baa!! Halafu dharau kibao, yaani huyu jamaa ni hatari zaidi ya Danger. Jiliwaze na hiyo buku 5 na bia moko.
Nakuhakikishia huyo mdada ndiye humsaidia jamaa kuwapata watu ka weye. Huyo jamaa kazi yake ni kula 'kabang' mbele hataki ndo maana mdada anatafuta wa kumsaidia huo mhogo wa jang'ombe. Endelea ila usitunyime hiyo part 3. Tunaomba na kapicha unavyolamba koni yako taratiiib
 
..ngoja nimtafute jamaa yake kabisa niweke oda kabisa...siku ukiliwa JICHO..na mimi nikugonge japo kimoja...kukutia adabu...
 
Mwenzko aliliwa 0717 akajiua kwa fedhea..ww utapigwa risasi ya eneo hilo hilo
 
Jamani mbona mnaanza kunitishia sasa, hivi mnafikiri kufumuliwa jicho huwa ni kiwepesi wepesi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…