Alipona kweli huyu?

Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa MUNGU linawezekana
 
Ile ya kwanza kuna kitu sijaelewa: ukiwaangalia kwa umakini, utagundua jamaa walisimama at zero distance, sasa katika hali ya kawaida mtu huwezi kurusha teke la namna ile kwa mtu uliesimama nae zero distance!
 

Angalia sasa ile nimedumbukia tu wakaja mamba kama 20 wakanizunguka si unajua mi ni ninja nikazamia chini ile kuibuka nipo juu ya mgongo wa mamba nikamshika mgongo nikamuongoza kama farasi hadi nje ya bwawa
 
Wakwanza atakua alifia njian kabla yakufka chini
 
Angalia sasa ile nimedumbukia tu wakaja mamba kama 20 wakanizunguka si unajua mi ni ninja nikazamia chini ile kuibuka nipo juu ya mgongo wa mamba nikamshika mgongo nikamuongoza kama farasi hadi nje ya bwawa
Weweeeeee, pamoja mkuu
 
huyu aliyejikita ardhini alitupwa au alijitupa
 
kuna movie moja ya jimmy carey alipigana na mamba hadi ikaanza kukimbilia nchi kavu. akaikamata mkia na kuirudisha kwenye maji huku akisema ''usianzishe kitu kama huwezi kumaliza"
 
kuna movie moja ya jimmy carey alipigana na mamba hadi ikaanza kukimbilia nchi kavu. akaikamata mkia na kuirudisha kwenye maji huku akisema ''usianzishe kitu kama huwezi kumaliza"
Hiyo nayo alimpatia, Mamba amesalimu amri!

Nisaidie jina la filamu niitafute
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…