Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 582
- 1,111
Ndugu wana jf ni siku nyingi kidogo nilikua nje ya dunia,sasa tangu nimerudi sijamuona mchezaji huyu.ni wapi alipo?

Ulikua mwezini au?
Alikuwa Kwenye mzunguko.
Ndugu wana jf ni siku nyingi kidogo nilikua nje ya dunia,sasa tangu nimerudi sijamuona mchezaji huyu.ni wapi alipo?
We binti acha ukilaza.
Ndugu wana jf ni siku nyingi kidogo nilikua nje ya dunia,sasa tangu nimerudi sijamuona mchezaji huyu.ni wapi alipo?
Anachezea libolo fc