Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

"he is a f...good player" - sir ferguson akiwajibu waliokuwa wanahoji kumsajili sebastian juan veron

"....boy....." - sir ferguson akimzungumzia mchezaji chakaramu (jina limehifadhiwa) baada ya kushindwa kumsajili
 
"sijawahi kucheza na mchezaji kama yule!" - mchezaji maarufu wa real madrid akimuongelea juan roman requalme baada ya kuwapelekesha kwenye fainali ya vilabu duniani mwaka 2000 ambapo boca juniors walishinda 2-1
 
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake


Sio yeye tu.
Hata Malaika Mbinguni huacha shughuli zao na kuanza kumuangalia Dinho awapo uwanjani...
 
Ronaldinho can win a man of the match without touching the ball and without being in filed...kauli hiyo ilitolewa na Adriano Galiani makamu mwenyekiti wa AC Milan mara baada ya kufanikiwa kumsajili Dinho the Saint
 
Ronaldinho can win a man of the match without touching the ball and without being in filed...kauli hiyo ilitolewa na Adriano Galiani makamu mwenyekiti wa AC Milan mara baada ya kufanikiwa kumsajili Dinho the Saint

Duh..........
 
Ronaldinho can win a man of the match without touching the ball and without being in filed...kauli hiyo ilitolewa na Adriano Galiani makamu mwenyekiti wa AC Milan mara baada ya kufanikiwa kumsajili Dinho the Saint
Kwa matangazo zaidi.
 
"milan just got their hands on the scudetto"

Kauli hiyo ilitolewa na Former Juventus Transfer Manager Lusiano Moggi after Milan signed their contract with Ibra in
2010/11.

and guess what?
Milan won their first scudetto
since 2004...

Forza Moggi, tunakukumbuka sana, haswa kwa kuwanyoosha Inter na mropokaji Moratti.
 
“When I landed at Linate, I remembered all the
times I’d leave this airport with Milan for the
Champions League games. Twenty-five years have
passed, but for me it feels like only a year ago,".....Ruud Gullit
 
"I am Like me or not, I am the only one who won the world's three most important leagues. So, maybe instead of the 'Special One', people should start calling me the 'Only One'" - Jose Maurinho
 
"Are Rivaldo and Verón the world's best players?" Well, the player who stands out for me is D'Alessandro. He's something else" - Diego Maradona
 
"I love to score goals after passing all the defenders as well as the keeper. This is not my speciality, but my habit" - Ronaldo wa Ukweli
 
"The people voted for me. Now they [FIFA] want me to share the prize with Pele. I'm not going to share the prize with anybody" - Diego Armando Maradona
 
"Tukienda ghorofa ya 10 huwa tunasema tunaenda Maradona" - Shabiki akieleza jinsi jezi nambari 10 ya Maradona ilivyo na maana kubwa huko Argentina
 
at this rate there might come a day when even
talking to a barca player in the penalty box will see
them awarded a penalty......Zlatan Ibracadabra
 
Tuache kuandikia mate ilhali wino upo, hebu msikilizeni hapa Zizzou akiongelea na kuyaonyesha manjonjo ya Ronaldo wa ukweli (sio maronaldo feki Christiano na Ronaldinho): Zidane & Ronaldo talk about each other ! ! ! [HD] - YouTube


Companero acha kuchuma dhambi ijumaa mapema hivi...
Wewe chuki yako kwa Gaucho iwe ni ya kimoyomoyo na si ya kuianika hadharani.

Wachambuzi wa kimataifa wa Maswala ya Soka walitanabaisha kuwa ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila Dakika ungesema upelekwe kwa Gaucho ili walio Mbinguni wafurahi na walio Duniani pia.

Wacha kumdhalilisha Saint Gaucho wewee.
 
Back
Top Bottom