ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,655
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu.. Sina mpango wa kumrudia hata iweje nataka tu jinsi ya kumfanya aache kunisumbua maana nishawahi hata kumfukuza barabarani mbele za watu ila hakomi na nishamwambia hata iweje kamwe siwezi rudi ila bado anasumbua kinoma wakuu.. Nitafanyia kazi baadhi ya ushauri.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
huyo mwanamke ni kabila gani?