mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Nilikua nina girlfriend wangu tulipendana sana alifanya vituko vingi sana kwakuwa nilimpenda nilimsamehe kuna siku nilikuta kwenye simu yake jamaa kamtumia picha ya mgegedo wake kupitia watsup akimkumbusha siku tatu nyuma jinsi alivyomfurahisha siku alivyokula koni vizuri lakini bado nilimsamehe tukaanza upya ( sijui hata nilikua zoba kiasi gani au ndo mapenzi).
Mambo yaliendelea ivyo mara tugombane mara tupatane siku moja tuligombana kidogo tu nilimnunulia juice hakuipenda akaikataa basi nikamwambia chukua hata ukampe mdogo wako ndo ikawa ugomvi usiku akanambia mimi na wewe naoma tuachanae kama ipo ipo tu na kama imepangwa mimi na wewe kuwa pamoja basi itakuwa na haikupangwa basi haiwezekani.
Iliniuma sana but moyoni nikasema hata ivyo umenitesa sana nenda tu. Nilimbembeleza kidogo na kumkumbusha mengi niliyomsamehe but alikataa kata basi nikamtakia maisha mema nikaanza life upya without her miezi kazaa ilipita nikarudia tabia yangu ya uplea but finaly nikanasa tena kwa mtoto wa kichaga mzuri sana aiseee..yupo tafauti sana na yule ex.. tunapendana sana.
Sasa cha ajabu anataka turudiane eti anasema yupo tayari kwa lolote lakini anataka kurudiana na mimi.
Nimemwambia haiwezekani sasa hivi nina furaha sana amkekuwa msumbufu sana ananisumbua sana.
Nimfanyaje uyu mwanaharamu because ananitia hasira.