MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,691
- 5,568
We ni muoga tu, wakati mwingine uvae ujasiri kwa kugegeda kavu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sawa. Ila nilishaoa nikaachana na papuchi za magendoWe ni muoga tu, wakati mwingine uvae ujasiri kwa kugegeda kavu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakumbuka sana ndo maana nikaona na mimi nikumbushie kisa changu japo kinafanana ila lengo watu wajifunze

HONGERA UJFIKA...WATU WAMEJIFUNZA ILA HII NI STORY YA KUTUNGA Hapa unaongea na watu waliokuzidi umri na wenye kuchanganua mambo wewe...Habari zenu wana MMU,
Leo nimeona niwaletee kisa ambacho kilinikuta miaka michache HUKO nyuma.
Nikiwa chuo mwaka wa Pili katika pita pita zangu za mitaani nilikutana na binti mrembo mwenye asili ya kinyarwanda aliyekuwa anasoma chuo cha jirani ya chuo nilichokuwa nasoma mimi.
Bila kuchelewesha muda kama ilivo kawaida kwa wanaume lijali nilimtongoza yule Dada na ilimchukua kama miezi miwili kunikubalia kwa sharti la kutumia kondom mpaka pale tutakapofunga ndoa. Nilifurahia na nikasema isiwe tabu. Mchezo ukaendelea ambapo siku Moja nilimwita aje gethoni nilipokuwa naishi,alipofika alipika chakula tukala tayari kwa kugegedana. Yule Dada nilipomwambia swala la kugegedana aliishiwa amani na furaha japo aliniuliza kama kuna kondomu. Kwa kuwa nilikuwa nimebakiza piece Tatu za kondomu nikasema zinatosha.
Wakati nikiwa namuandaa gafla alianza kulia kwa huruma bila sababu ya msingi na nilipomuuliza akasema ananipenda hivo hataki niteseke ndo maana alilia kwa uchungu. Nilijawa na maswali mengi sana. Ilibidi nimwache aende zake ili aje siku nyingine maana siku hiyo alikuwa MTU mwenye huzuni na mwenye kutokwa na machozi muda wote.
Zilipita siku mbili,binti mrembo wa kinyarwanda alirudi tena baada ya kumbembeleza aje ili nimgegede. Hakika alikuja na siku hiyo sikutaka swaga zake,nilianza kumuandaa na akanivalisha kondomu,. Kwa kuwa nilikuwa na ugwadu wa kutosha nilimgegeda kwa kutumia nguvu nyingi sana hata pale alipokuwa analia nilikuwa namsukumizia tu dude tena kwa nguvu za kutosha. Bao la kwanza lilikamilika na akanitoa kondomu kwa pole za kutosha(pole my husband kwa kazi nzito,alisema). Mgegedo ulikuwa mzuri sana kiukweli.
Niliamua kupumuzika kama dk 10 hivi nikiwa najazia nguvu zingine Mara haaa! Dude likajaa hasira,nikamuweka kikaangani tena yule mrembo. Bahati mbaya sana wakati naelekea kupiga bao kondomu ilipasuka na mimi sikujua kama imepasuka maana niliona tu utamu umeongezeka. Mrembo alipogundua alilia sana. Nikanyamzisha na akaenda chuoni kwao.
Baada ya siku kama 14 hivi nilimwambia tena aje,Mara hii alikuja kulala gethoni kwangu ili nimpasue barabara. Kiukweli dude lilikuwa limechangamka na lenye nguvu sana kiasi kwamba mrembo alidata na dude. Basi kwa kuwa alikuja kulala kwangu alipika tukala na baada ya lisaa limoja alisema akaoge. Akaenda kuoga na wakati akiwa bafuni akilini mwangu iliniijia issue ya kukagua mkoba wake. Dah! Mungu ni mwema nilikutana na kopo Moja la dawa ambalo niligundua ni ARV na alikuwa na vidonge vingine vya Septrin. Basi niliingiwa na hofu sana. Nikamsubiri atoke bafuni ili nimuulize. Akasema ameathirika ndo maana hakutaka nisex nae bila kondomu. Dah! Niliishiwa nguvu zote na hapo hapo majira ya SAA NNE usiku nilimfukuza licha ya kulia sana na kuniomba msamaha.
Asubuhi na mapema nikaenda dispensary ya karibu kupima ambapo Dr niliyemkuta alinipa dawa za mwezi mmoja ambazo ni TLE. Dah! Ilikuwa shida sana kuzimeza maana zilikuwa kubwa mno.
Baada ya siku 14 nilipima nikakutwa Niko safi.
Toka pale niliacha kudandia warembo hovyo hovyo. Na kondomu niliendelea kuzitumia sana.
(Nimesukumwa kuandika kisa hiki baada ya jumatatu ya week hii kumkuta akiwa hoi bin Taabani kwa ugonjwa wa fungus wa ubongo).
Funzo: Wadada wanahuruma sana. Hawataki kueneza VVU kwa makusudi. Usimwamini mtu kwa macho.
UKIMWI UPO NA UNAUA.
Mkuu mm niliuliza hilo swali kuhusu kumeza vidonge?HONGERA UJFIKA...WATU WAMEJIFUNZA ILA HII NI STORY YA KUTUNGA Hapa unaongea na watu waliokuzidi umri na wenye kuchanganua mambo wewe...
Nashangaa kwanini watu hawakuulizi maswali haya.
1.Tangu lini mtu mwanamke anaejua anaenda kufanya ngono eti aweke Dawa za ukimwi kwenye pochi,wakati akijua anaenda kufanya kitendo hicho?
2.Kwani hiyo dozi ya ukimwi ni 2*3??? yaani asubuhi mchana na jioni
kama ni mara moja kwa siku na ndivyo inavyojulikana mtu anameza either asubuhi au usiku kabla ya kulala...hivyo kabla hajaja kwako angeweza kuwa ameshameza si umesema amekuja jioni mkalala mpaka asubuhi?
so uwezekano Mkubwa wa kuja huku akiwa ameshameza dozi ni Mkubwa
UKWELI UTAKUWEKA HURU...
Kweli imefanana kila kitu na story ya jamaa na yeye demu alienda kuoga akaanza kupekua mkoba wake, kwani hivyo vidonge mtu hawezi kumeza kabisa alafu ndio akaja kwako kwani lazima avibebe kwenye mkoba wake? Hakuna njia nyengine ya kujua demu kama kaathirika zaidi ya kusubiri akienda kuoga upekue mkoba wake ukute vidonge? Next time muwe mnabadilisha jamani ili kuipa msisimko story yako hii tushaizoea
Wewe ungemvumiia hata ukalala nae bila kugongana. Kumfukuza haikuwa busara. Hukutumia busara. Unapaswa ukiri na umuombe msamaha kabla hajafa. Yeye alikupenda, alikujali but hukumjali hata kidogo na huenda hata nauli hukumpa.Mkuu kama ungekuwa wewe ungefanyaje? Alinichanganya sana. Maana alitakiwa kuniambia toka mwanzo kuwa ni HIV+
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa pamoja na kujipambanua una umri mkubwa kuliko mimi hilo sikubishii. Kumbuka huyu MTU dawa aliyokuwa anatumia ni 1B. 1B ni two times dose.HONGERA UJFIKA...WATU WAMEJIFUNZA ILA HII NI STORY YA KUTUNGA Hapa unaongea na watu waliokuzidi umri na wenye kuchanganua mambo wewe...
Nashangaa kwanini watu hawakuulizi maswali haya.
1.Tangu lini mtu mwanamke anaejua anaenda kufanya ngono eti aweke Dawa za ukimwi kwenye pochi,wakati akijua anaenda kufanya kitendo hicho?
2.Kwani hiyo dozi ya ukimwi ni 2*3??? yaani asubuhi mchana na jioni
kama ni mara moja kwa siku na ndivyo inavyojulikana mtu anameza either asubuhi au usiku kabla ya kulala...hivyo kabla hajaja kwako angeweza kuwa ameshameza si umesema amekuja jioni mkalala mpaka asubuhi?
so uwezekano Mkubwa wa kuja huku akiwa ameshameza dozi ni Mkubwa
UKWELI UTAKUWEKA HURU...
Ana umri gani huyo dada?Mkuu mimi siyo mtunzi. Hii ni live bila chenga. Huyu dada mpaka navoandika Uzi huu yupo hoi kitandani maana kaugua fungus wa kwenye ubongo
Pole yake, lakini haikuwa sahihi kumfuza usiku ingasa ni jambo lilikopita, uwe unamjulia hali sasa ikiwezekana kumpatia msaada.30yrs
Mkuu mimi siyo mtunzi. Hii ni live bila chenga. Huyu dada mpaka navoandika Uzi huu yupo hoi kitandani maana kaugua fungus wa kwenye ubongo