Alinizungusha kumbe ana UKIMWI

Alinizungusha kumbe ana UKIMWI

Kosa la marehemu mamam.......!hakuvaa kondom....uswailini matola.
 
Unajua why nilikomaa? Nilikomaa ili nijue mazingira ya tukio na njifahamu jinsi ya kusaidia. After all mimi ni mtaalamu wa hayo madude.
Tumekapata uzuri, haya lete hizo story sasa hivi hatukubishi wala nini
 
FB_20170401_21_47_15_Saved_Picture.jpg

Ni yupi kati ya hao??
 
Kapima tena
Mkuu nikapime nini? Hili ni tukio ambalo lilitokea 2008 nikiwa mwaka wa Pili chuo. Kuna member humu anaifahamu hii story maana alikuwa swahiba yangu sana.
 
Kuna mama anaishi na vvu aliambukizwa kwa makusudi na Mme wake (marehemu kwa sasa) ila alishamsamehe. Ni true story na ya kusisimua. Mme wake aliacha frame Za kutosha Kariakoo. Hii story nikiileta hapa watu watatokwa na mapovu. Watasema nimekopy
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
 
Habari zenu wana MMU,
Leo nimeona niwaletee kisa ambacho kilinikuta miaka michache HUKO nyuma.
Nikiwa chuo mwaka wa Pili katika pita pita zangu za mitaani nilikutana na binti mrembo mwenye asili ya kinyarwanda aliyekuwa anasoma chuo cha jirani ya chuo nilichokuwa nasoma mimi.
Bila kuchelewesha muda kama ilivo kawaida kwa wanaume lijali nilimtongoza yule Dada na ilimchukua kama miezi miwili kunikubalia kwa sharti la kutumia kondom mpaka pale tutakapofunga ndoa. Nilifurahia na nikasema isiwe tabu. Mchezo ukaendelea ambapo siku Moja nilimwita aje gethoni nilipokuwa naishi,alipofika alipika chakula tukala tayari kwa kugegedana. Yule Dada nilipomwambia swala la kugegedana aliishiwa amani na furaha japo aliniuliza kama kuna kondomu. Kwa kuwa nilikuwa nimebakiza piece Tatu za kondomu nikasema zinatosha.

Wakati nikiwa namuandaa gafla alianza kulia kwa huruma bila sababu ya msingi na nilipomuuliza akasema ananipenda hivo hataki niteseke ndo maana alilia kwa uchungu. Nilijawa na maswali mengi sana. Ilibidi nimwache aende zake ili aje siku nyingine maana siku hiyo alikuwa MTU mwenye huzuni na mwenye kutokwa na machozi muda wote.

Zilipita siku mbili,binti mrembo wa kinyarwanda alirudi tena baada ya kumbembeleza aje ili nimgegede. Hakika alikuja na siku hiyo sikutaka swaga zake,nilianza kumuandaa na akanivalisha kondomu,. Kwa kuwa nilikuwa na ugwadu wa kutosha nilimgegeda kwa kutumia nguvu nyingi sana hata pale alipokuwa analia nilikuwa namsukumizia tu dude tena kwa nguvu za kutosha. Bao la kwanza lilikamilika na akanitoa kondomu kwa pole za kutosha(pole my husband kwa kazi nzito,alisema). Mgegedo ulikuwa mzuri sana kiukweli.

Niliamua kupumuzika kama dk 10 hivi nikiwa najazia nguvu zingine Mara haaa! Dude likajaa hasira,nikamuweka kikaangani tena yule mrembo. Bahati mbaya sana wakati naelekea kupiga bao kondomu ilipasuka na mimi sikujua kama imepasuka maana niliona tu utamu umeongezeka. Mrembo alipogundua alilia sana. Nikanyamzisha na akaenda chuoni kwao.

Baada ya siku kama 14 hivi nilimwambia tena aje,Mara hii alikuja kulala gethoni kwangu ili nimpasue barabara. Kiukweli dude lilikuwa limechangamka na lenye nguvu sana kiasi kwamba mrembo alidata na dude. Basi kwa kuwa alikuja kulala kwangu alipika tukala na baada ya lisaa limoja alisema akaoge. Akaenda kuoga na wakati akiwa bafuni akilini mwangu iliniijia issue ya kukagua mkoba wake. Dah! Mungu ni mwema nilikutana na kopo Moja la dawa ambalo niligundua ni ARV na alikuwa na vidonge vingine vya Septrin. Basi niliingiwa na hofu sana. Nikamsubiri atoke bafuni ili nimuulize. Akasema ameathirika ndo maana hakutaka nisex nae bila kondomu. Dah! Niliishiwa nguvu zote na hapo hapo majira ya SAA NNE usiku nilimfukuza licha ya kulia sana na kuniomba msamaha.
Asubuhi na mapema nikaenda dispensary ya karibu kupima ambapo Dr niliyemkuta alinipa dawa za mwezi mmoja ambazo ni TLE. Dah! Ilikuwa shida sana kuzimeza maana zilikuwa kubwa mno.
Baada ya siku 14 nilipima nikakutwa Niko safi.

Toka pale niliacha kudandia warembo hovyo hovyo. Na kondomu niliendelea kuzitumia sana.
(Nimesukumwa kuandika kisa hiki baada ya jumatatu ya week hii kumkuta akiwa hoi bin Taabani kwa ugonjwa wa fungus wa ubongo).

Funzo: Wadada wanahuruma sana. Hawataki kueneza VVU kwa makusudi. Usimwamini mtu kwa macho.

UKIMWI UPO NA UNAUA.
Unyanyapaa...bora ungepata ugonjwa nawe!
 
Ndo maana hawa warembo me hata stakag kuwasalimia
 
Uwezekano wa kupima ni mkubwa sana kwa kuwa yule binti alianza dose.
Ngoja nikupe a very brief story (kuna jamaa alipata mchepuko ambao ulikuwa tayar umeathirika na ulikuwa unatumia dawa. Jamaa hakuwahi kutumia condom na demu cd4+ cells zilikuwa 1120. Mpaka navoandika thread hii jamaa alikaa naye miaka 3 ila jamaa yupo safi mpaka dk hii - why????).
 
Bahayi haiji Mara mbili shetani anakutafuta sala za wazazi wako zimekuokoa,wanaume mpime binti kwanza kabla ya kumlala,
 
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
Nikileta story watasema nimekopy. Ila ukweli ni kwamba nina story nyingi sana za dizaini hii maana in my daily routine anakumbana nazo na kuzitatu. Na ndiyo maana drs wanastory nyingi sana za aina hii. Muulize sky esclat
 
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
Mkuu huyu mama aliachiwa frame nyingi sana pale Kariakoo. Mme wake alifariki kwa ukimwi. Alimficha sana mke wake juu ya ugonjwa wake mpaka alikuja kuambiwa na dr aliyekuwa anamtibia pale Muhimbili maana mke wake alikuwa anajua anaumwa pressure ya kupanda tu. Yule mama ana watoto wasomi sana. Mme wake alilewa pesa akawa MTU wa kuchukua wanawake hovy hovyo mpaka akapata maradhi na kumwachia mkewe. Mkewe ni much a Mungu sana na watoto wake wote wanajua hali ya mama yao na wanampenda sana. Story kama hizi siyo za kutunga. Nazipata kwa clients wanaonutembelea nyumbani. Na wengine tunakutana nao mtaani
 
Ulikuwa na sababu gani basi kumwanika huyu binti na kuelezea uzinifu wako hapa? What if ungeupata ungekuja kuweka hapa jamvini?
Nimemtaja jina? Nimeonesha Picha yake?. Napata tabu kuelewa juu ya uelewa wako. Pole mkuu
 
Nimemtaja jina? Nimeonesha Picha yake?. Napata tabu kuelewa juu ya uelewa wako. Pole mkuu
Hata kama hukuweka picha ila maelezo yako yanaakisi mawazo yako na mawazo ndiyo yatoayo taswira ya kimjazacho mtu...Namwonea tu huruma binti wa watu ambayewewe ulimtumia tu kumaliza haja zako na sasa unamwelezea as if unaelezea mdoli wa kufanyia mapenzi! Ninyi ndiyo mnasababisha hata mwenyezi Mungu analeta mabalaa duniani! Ndo maana nikasema ulikosa bahati ya kuupata though unaweza kuupata tu kama hujabadili mwenendo wako wa kuzoa zoa!
 
Mara nyingine vudume tunapenda kung'ang'ania sana na kulazimisha. Bila kujua unataka kushika umeme
 
Hata kama hukuweka picha ila maelezo yako yanaakisi mawazo yako na mawazo ndiyo yatoayo taswira ya kimjazacho mtu...Namwonea tu huruma binti wa watu ambayewewe ulimtumia tu kumaliza haja zako na sasa unamwelezea as if unaelezea mdoli wa kufanyia mapenzi! Ninyi ndiyo mnasababisha hata mwenyezi Mungu analeta mabalaa duniani! Ndo maana nikasema ulikosa bahati ya kuupata though unaweza kuupata tu kama hujabadili mwenendo wako wa kuzoa zoa!
Dah! Mkuu toka 2008 kwenye maisha ya kichuo chuo mpaka sasa hii tabia IPO kweli?. Aaaah! Not to that extent
 
Mara nyingine vudume tunapenda kung'ang'ania sana na kulazimisha. Bila kujua unataka kushika umeme
Ni kweli mkuu. Ila tunapopata story kama hizi ambazo tumekutana nazo ni vema kushare ili kuwapa funzo wengine
 
Back
Top Bottom