Ni kweli. Ndo maana story za waathirika zinafanana. Kuna mama mmoja nilikutana naye kwenye kitengo(CTC) na bahati mbaya sana hakujua kitaa ninachoishi,basi siku Moja wakati naelekea kwenyw viwanja vya mazoezi nilimuona ana mshikaji Wangu ambaye huwa tunafanya naye mazoezi mida ya jioni. Basi sikutaka kumwambia kwa wakati huo huyu jamaa yangu jinsi navimfajamu yule dada........Ila ndugu tabia zinachochangiza kuupata si nizile zile?
Na kuukwaa sii ngono huenda alizaliwa nao.ulipaswa kumpa moyo sio kumfukuza ukizingatia alijitahidi sana kukulinda uroho wako ndio ulifanya condom ipasuke watu kama nyie ni kuwalaaniwa na usishangae utakufa na kumwacha namuombea kwa mungu hizo fungus zitaponaHuyo mrembo alikuwa anakupenda sana mkuu.
Nilikuwa naomba wanawake na wanaume wote waige mfano huoo na si kuendelea kueneza kwa makusudi ili hali wanajijua wameukwaa.
Hivyo ukimfukuza unapona ulipaswa kumdadisi kaupatajeMkuu kama ungekuwa wewe ungefanyaje? Alinichanganya sana. Maana alitakiwa kuniambia toka mwanzo kuwa ni HIV+
Brother dawa ya ukimwi ipo...ni kuacha matendo yetu maovu na kufata njia zifaazo...kirusi cha ukimwi ni mimi...ni wewe...ni yule! Once tukiacha kusambaa kwa makusudi tunaweza kuiponya nchi!...Tunaweza kuiponya dunia! Ni vyemasana kujua kwamba unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe ukakuta umejimaliza na jamii yako...Ni kweli. Ndo maana story za waathirika zinafanana. Kuna mama mmoja nilikutana naye kwenye kitengo(CTC) na bahati mbaya sana hakujua kitaa ninachoishi,basi siku Moja wakati naelekea kwenyw viwanja vya mazoezi nilimuona ana mshikaji Wangu ambaye huwa tunafanya naye mazoezi mida ya jioni. Basi sikutaka kumwambia kwa wakati huo huyu jamaa yangu jinsi navimfajamu yule dada........
To be continued ......
Nilipokuja kumweleza hali halisi yule jamaa alichanganyikiwa japo baadae nilimtuliza lakini it was too late maana tayari........
To be continued........ Haya mambo yapo sana.
Kuathirika sii rahisi kwa utafiti wa siku hizi mtu kama anatumia ARV kwa usahihi hawezi kumwambukiza mweza hata wakijamiana bila condom labda itokee michubuko kitu ambacho sio rahisi kama mmeandaana vizuriKama kweli ulifanya nae na alikuwa muathirika na kama kweli condom ilipasuka basi wewe ni muathirika kapime tena...maana hivyo vidonge havitolewi na havigaiwi kwa njia hii uliyoisema na havipatikani kwa namna hiyo...
Kama story hii ni ya kweli basi wewe umeathirika, kinyume na hapo story umetunga.
Thanks kwa ubinadamu wako Mkuu na uendelee kumjulia hali maana alikunusuru sana Mkuu na tumwombee hakika kwa ubinadamu na hofu ya ki-Mungu aliyoonyesha kwako.Alishaolewa na ana watoto watatu. Watoto hawana maambukizi. Nilikuta kaandikwa dawa zenye thamani ya 98000. Nilimlipia na kumpa 27000 ya matumizi.
Mkuu nimeona nia yako ila hawa watu naona wanakuchukulia poa sana.![]()
![]()
. kuna Binti ni form three kazaliwa na ukimwi(ni mrembi hatari) ila anaambukiza vvu kwa makusudi. Hii ni story ya kweli. Najua nikiileta hapa watu hawataamini. Watasema nimetunga. Mimi kila siku hizi cases nashughulika nazo na kutoa uahauri. Sasa watu wakiletewa story hapa ili wajifunze wanaleta maneno mengi.