Alinizungusha kumbe ana UKIMWI

Alinizungusha kumbe ana UKIMWI

ucnge mfukuza ujue alikupnda sana ndiomana alitaka utumie kondom pia ungekua mgunduzi mapema ungetambua tu.pia muombee tu apone kwan fungus zipo fluconazole atapatiwa hakutaka uteseke kama yeye alivyo saivi.
 
Kiukweli namuombea apone. Na juzi nimekutana kaandikiwa fluconazole iv nikanunua kwa ajili yake. Shortly leo kidogo ahueni kwa Leo.
 
Hivi kumbe miezi 2 ni mingi sana, mpaka mtu anaona kazungushwa??
 
Usimtenge sasa msaidie maana amekuwa mwema sana kwako kukusisitiza uvae condom, alikuwa na uwezo wa kukuambukiza
 
Back
Top Bottom