Alinizungusha kumbe ana UKIMWI

Kosa la marehemu mamam.......!hakuvaa kondom....uswailini matola.
 
Unajua why nilikomaa? Nilikomaa ili nijue mazingira ya tukio na njifahamu jinsi ya kusaidia. After all mimi ni mtaalamu wa hayo madude.
Tumekapata uzuri, haya lete hizo story sasa hivi hatukubishi wala nini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kapima tena
Mkuu nikapime nini? Hili ni tukio ambalo lilitokea 2008 nikiwa mwaka wa Pili chuo. Kuna member humu anaifahamu hii story maana alikuwa swahiba yangu sana.
 
Kuna mama anaishi na vvu aliambukizwa kwa makusudi na Mme wake (marehemu kwa sasa) ila alishamsamehe. Ni true story na ya kusisimua. Mme wake aliacha frame Za kutosha Kariakoo. Hii story nikiileta hapa watu watatokwa na mapovu. Watasema nimekopy
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
 
Unyanyapaa...bora ungepata ugonjwa nawe!
 
Ndo maana hawa warembo me hata stakag kuwasalimia
 
Uwezekano wa kupima ni mkubwa sana kwa kuwa yule binti alianza dose.
Ngoja nikupe a very brief story (kuna jamaa alipata mchepuko ambao ulikuwa tayar umeathirika na ulikuwa unatumia dawa. Jamaa hakuwahi kutumia condom na demu cd4+ cells zilikuwa 1120. Mpaka navoandika thread hii jamaa alikaa naye miaka 3 ila jamaa yupo safi mpaka dk hii - why????).
 
Bahayi haiji Mara mbili shetani anakutafuta sala za wazazi wako zimekuokoa,wanaume mpime binti kwanza kabla ya kumlala,
 
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
Nikileta story watasema nimekopy. Ila ukweli ni kwamba nina story nyingi sana za dizaini hii maana in my daily routine anakumbana nazo na kuzitatu. Na ndiyo maana drs wanastory nyingi sana za aina hii. Muulize sky esclat
 
Mkuu umeongea mwanamke mwenye frame k/koo tumbo limenikata ghafla. Ni nani huyo? Na ilikuwaje yakamsibu ya kumsibu.
Mkuu huyu mama aliachiwa frame nyingi sana pale Kariakoo. Mme wake alifariki kwa ukimwi. Alimficha sana mke wake juu ya ugonjwa wake mpaka alikuja kuambiwa na dr aliyekuwa anamtibia pale Muhimbili maana mke wake alikuwa anajua anaumwa pressure ya kupanda tu. Yule mama ana watoto wasomi sana. Mme wake alilewa pesa akawa MTU wa kuchukua wanawake hovy hovyo mpaka akapata maradhi na kumwachia mkewe. Mkewe ni much a Mungu sana na watoto wake wote wanajua hali ya mama yao na wanampenda sana. Story kama hizi siyo za kutunga. Nazipata kwa clients wanaonutembelea nyumbani. Na wengine tunakutana nao mtaani
 
Ulikuwa na sababu gani basi kumwanika huyu binti na kuelezea uzinifu wako hapa? What if ungeupata ungekuja kuweka hapa jamvini?
Nimemtaja jina? Nimeonesha Picha yake?. Napata tabu kuelewa juu ya uelewa wako. Pole mkuu
 
Nimemtaja jina? Nimeonesha Picha yake?. Napata tabu kuelewa juu ya uelewa wako. Pole mkuu
Hata kama hukuweka picha ila maelezo yako yanaakisi mawazo yako na mawazo ndiyo yatoayo taswira ya kimjazacho mtu...Namwonea tu huruma binti wa watu ambayewewe ulimtumia tu kumaliza haja zako na sasa unamwelezea as if unaelezea mdoli wa kufanyia mapenzi! Ninyi ndiyo mnasababisha hata mwenyezi Mungu analeta mabalaa duniani! Ndo maana nikasema ulikosa bahati ya kuupata though unaweza kuupata tu kama hujabadili mwenendo wako wa kuzoa zoa!
 
Mara nyingine vudume tunapenda kung'ang'ania sana na kulazimisha. Bila kujua unataka kushika umeme
 
Dah! Mkuu toka 2008 kwenye maisha ya kichuo chuo mpaka sasa hii tabia IPO kweli?. Aaaah! Not to that extent
 
Mara nyingine vudume tunapenda kung'ang'ania sana na kulazimisha. Bila kujua unataka kushika umeme
Ni kweli mkuu. Ila tunapopata story kama hizi ambazo tumekutana nazo ni vema kushare ili kuwapa funzo wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…