[emoji38][emoji4][emoji5]CC: GISAMBOWabongo bwana...
Kuna mshikaji jana alileta uzi hapa anaulizia "hivi ni vidonge gani" na akavipiga picha...
Kwamba amevikuta kwenye mkoba wa demu wake...
Wewe raisi2020 ulikua na hamasa sana kutaka kujua story yake....
Anyway :
Kifupi ni kuwa umetumia story ya mshikaji kutengeneza story yako...
Mkuu ukiweka hiyo story yako hapa watasema umetunga. Ila watu wengi sana wenye cases za aina hii huwa story zinafanana sana. Mfano kuna rafiki yangu wa kiume nilipenda sana kumtembelea kila nikienda kwake nilimkuta anatumia plumpy nuts na nikimuuliza anazitoa wapu haniambii kumbe ni mwathirika ila alivokuwa anausambaza ni hatari. Hii story nikiileta majitu yatasema nimeiba storyKweli wadada wana huruma sana,yuko ambae tulipendana sana. Ila yeye aliniambia mapema kuwa ameathirika na alibakwa akiwa kidato cha pili,hapo ndipo alipopatia huo ugonjwa.
Kwa tahadhari sikumgonga japo aliniambia kama nitataka inabidi tutumie ndom.
Sasa hivi ni mwalimu wa shule flani na anapenda watoto sana ila ndio hivyo yeye hana wa kwake.
Mkuu ukiweka hiyo story yako hapa watasema umetunga. Ila watu wengi sana wenye cases za aina hii huwa story zinafanana sana. Mfano kuna rafiki yangu wa kiume nilipenda sana kumtembelea kila nikienda kwake nilimkuta anatumia plumpy nuts na nikimuuliza anazitoa wapu haniambii kumbe ni mwathirika ila alivokuwa anausambaza ni hatari. Hii story nikiileta majitu yatasema nimeiba story
Kweli imefanana kila kitu na story ya jamaa na yeye demu alienda kuoga akaanza kupekua mkoba wake, kwani hivyo vidonge mtu hawezi kumeza kabisa alafu ndio akaja kwako kwani lazima avibebe kwenye mkoba wake? Hakuna njia nyengine ya kujua demu kama kaathirika zaidi ya kusubiri akienda kuoga upekue mkoba wake ukute vidonge? Next time muwe mnabadilisha jamani ili kuipa msisimko story yako hii tushaizoeaKwa sasa MTU anaweza kudhani ni copy and paste. Ila matukio ya kweli yenye ufanano wa karibu sana. Ndiyo maana huwa spendi kuweka threads kwenye jukwaa la MMU maana watu wa huku wamezoea story za kutunga ila zenye ukweli huziweka kama porojo
Mkuu ukiweka hiyo story yako hapa watasema umetunga. Ila watu wengi sana wenye cases za aina hii huwa story zinafanana sana. Mfano kuna rafiki yangu wa kiume nilipenda sana kumtembelea kila nikienda kwake nilimkuta anatumia plumpy nuts na nikimuuliza anazitoa wapu haniambii kumbe ni mwathirika ila alivokuwa anausambaza ni hatari. Hii story nikiileta majitu yatasema nimeiba story
Tatizo watu wa MMU wamezoea kudanganywa na vistory uchwara. Wakiambiwa hali halisi wanasema uongo. Jana GISAMBO walimwambia kuwa anatunga story.Haya mambo yapo sana mtaani ila watu ni waoga kuyasema na kushare na wengine. Uyu binti namshukuru sana kwa kuniambia ukweli japo mara ya kwanza sikukubali mpaka alivyonionyesha majibu ya hospitali na akanihadithia stori nzima ya kisa cha yeye kuupata huo ukimwi.
Nitaandika jioni. Ila kwa ninavojua watu watatokwa na mapovu mpaka basi. Kwa taarifa tu mimi ninafanya kazi na shirika linalojiahughulisha na maswala ya waathirika hivo nafahamu mambo mengi ya waathirika wa ukimwi kuliko hizi story munazoletewa hapa.Blaza, leta basi hiyo story tupate ma experience. Tushakuelewa
Mkuu tumepata funzo hapa.Tatizo watu wa MMU wamezoea kudanganywa na vistory uchwara. Wakiambiwa hali halisi wanasema uongo. Jana GISAMBO walimwambia kuwa anatunga story.
Tatizo lako jana ulikuwa unasisita sana jamaa asimulie yani ulikuwa na hamu nayo kweli, alivyosimulia tu ukalala ulivyoamka tu na ww ukaleta story yako vilevile kama ya jamaa hapo ndio watu tukapata wasiwasi na story yakoTatizo watu wa MMU wamezoea kudanganywa na vistory uchwara. Wakiambiwa hali halisi wanasema uongo. Jana GISAMBO walimwambia kuwa anatunga story.
Afu msichana akikataa ndio tunatumia nguvu nyingi sanaaShida uwa mna papara mno...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , Daah JF haijawahi kuisha vituko na sidhani kama itatokea iishe vituko.Kumbe kumkomalia kote jamaa asimulie ili na ww utunge story yako?
Nilifatilia mkuu alikuwa ana nia ya kumsaidia we fatilia comment zake kwa umakini.Kumbe kumkomalia kote jamaa asimulie ili na ww utunge story yako?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] . kuna Binti ni form three kazaliwa na ukimwi(ni mrembi hatari) ila anaambukiza vvu kwa makusudi. Hii ni story ya kweli. Najua nikiileta hapa watu hawataamini. Watasema nimetunga. Mimi kila siku hizi cases nashughulika nazo na kutoa uahauri. Sasa watu wakiletewa story hapa ili wajifunze wanaleta maneno mengi.Mkuu tumepata funzo hapa.
Wanachokisema wadau ni kweli usiwabishie.
Hii stori ni ya kweli imekutokea na wewe baada ya kutokea ukaona uitungie bandiko lake. Yani tukio ukaliweka kwenye maandishi. Huo si ndio utunzi ?kwa sababu ungekuwa sio mtunzi usingeweza kulielezea tukio na kila mtu akaelewa.
Unajua why nilikomaa? Nilikomaa ili nijue mazingira ya tukio na njifahamu jinsi ya kusaidia. After all mimi ni mtaalamu wa hayo madude.Tatizo lako jana ulikuwa unasisita sana jamaa asimulie yani ulikuwa na hamu nayo kweli, alivyosimulia tu ukalala ulivyoamka tu na ww ukaleta story yako vilevile kama ya jamaa hapo ndio watu tukapata wasiwasi na story yako
Mkuu we zilete tu hivyo hivyo, hakuna jinsi tutajifunza pia. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji120] [emoji120] [emoji120] . kuna Binti ni form three kazaliwa na ukimwi(ni mrembi hatari) ila anaambukiza vvu kwa makusudi. Hii ni story ya kweli. Najua nikiileta hapa watu hawataamini. Watasema nimetunga. Mimi kila siku hizi cases nashughulika nazo na kutoa uahauri. Sasa watu wakiletewa story hapa ili wajifunze wanaleta maneno mengi.
Kuna mama anaishi na vvu aliambukizwa kwa makusudi na Mme wake (marehemu kwa sasa) ila alishamsamehe. Ni true story na ya kusisimua. Mme wake aliacha frame Za kutosha Kariakoo. Hii story nikiileta hapa watu watatokwa na mapovu. Watasema nimekopyMkuu we zilete tu hivyo hivyo, hakuna jinsi tutajifunza pia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwezekano wa kupima ni mkubwa sana kwa kuwa yule binti alianza dose.Kama kweli ulifanya nae na alikuwa muathirika na kama kweli condom ilipasuka basi wewe ni muathirika kapime tena...maana hivyo vidonge havitolewi na havigaiwi kwa njia hii uliyoisema na havipatikani kwa namna hiyo...
Kama story hii ni ya kweli basi wewe umeathirika, kinyume na hapo story umetunga.
Lete story bwana tupate kujifunza, kwani ya kutunga haifundishi? Ww usifatishe maneno ya humu ukweli unaujua mwenyewe[emoji120] [emoji120] [emoji120] . kuna Binti ni form three kazaliwa na ukimwi(ni mrembi hatari) ila anaambukiza vvu kwa makusudi. Hii ni story ya kweli. Najua nikiileta hapa watu hawataamini. Watasema nimetunga. Mimi kila siku hizi cases nashughulika nazo na kutoa uahauri. Sasa watu wakiletewa story hapa ili wajifunze wanaleta maneno mengi.