Alinitoa uanawali wangu

Alinitoa uanawali wangu

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?
 
Endeleeni na maisha yenu ya ndoa, msijaribu kukutana mara kwa mara bila sababu ya msingi mbali na hiyo ya mapenzi. kama mnapendana na a-wako hiyo ni nzuri sana, ingekua tatizo kama mmewekeana mabifu...!!!
 
Shetani anabisha hodi mlango penu! Funga ukiomba na kusali maana siku si nyingi mtamfungulia.
 
Peaneni mara ya mwisho mkaandikishe na mkataba kwa wakili kwamba baasi........No kunjunjana tena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mhhhhhhhhh! Mi biahsara kama hizi ndo sitakagi! Mtu anakuoa, unamuamini kumbe ana unfinished business zake. Mwisho unajikuta charged with 1st degree murder case baada ya uzalendo kukushinda na kumuwekea Diazon kwenye juice!!!!!!!!!!

We huyo bwana anakuona wa maana coz uko kwa mumeo, wala, wanya kwa raha zako. Kumpima upendo wake mwambie namuacha mume wangu naja huko kwako uniowe japo mke wa pili uone kama hata sms yako yeyote itayofatia itajibiwa! Kimyaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa,
Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.
Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Kuna ukweli wowote hapo kwenye red? kama jibu ni ndiyo kwanini msiwe pamoja kila mmoja akatoka nawake?

huyo ni ibilisi tu, vya kuonjesha daima vitamu kuliko vya kujipakulia si vinakinai! unganeni kama hamjatamani kwa mlioachana nao.
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa,
Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.
Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Nikisema marriage is a big flat farce wengine wanasema ooh that's just the vitriolic and hyperbolically recalcitrant Kiranga.

Ukweli ni kwamba wengi wanajisikia hivi lakini wameziba midomo kwa sababu ya "keeping up with the Joneses" tu.
 
leo imekua ni siku ya pumba .......
 
Mhhhhhhhhh! Mi biahsara kama hizi ndo sitakagi! Mtu anakuoa, unamuamini kumbe ana unfinished business zake. Mwisho unajikuta charged with 1st degree murder case baada ya uzalendo kukushinda na kumuwekea Diazon kwenye juice!!!!!!!!!!

We huyo bwana anakuona wa maana coz uko kwa mumeo, wala, wanya kwa raha zako. Kumpima upendo wake mwambie namuacha mume wangu naja huko kwako uniowe japo mke wa pili uone kama hata sms yako yeyote itayofatia itajibiwa! Kimyaaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Umeongea ukweli
 
Nasikitika kama wewe ndiye mke wangu umenena haya. kuanzia leo nitakuwa makini kwani najuwa kwamba jamaa ndie alikutoa utepe and najua naye kaoa. Nakuomba ujiandae kuanzia leo kwani janja yenu imebuma, nitawaslota.
 
badilishaneni wenza. Au mshirikishe mumeo na mkewe kisha mfanye four-some......!!!
 
Back
Top Bottom