Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa,
Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.
Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa.

nyie ndio mnaolewa kwa mkumboHuyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa.
Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.
Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?
hahahaha!! unautani wewe??
haya umeona NRF wametoa matokeo?? nimepata. nipe hongera yangu.
Nonsense! Usingeonjwa kabla ya ndoa ungemjuaje? Na hapa ndo chanzo cha matatizo ktk ndoa nyingi za leo. Kuonjana kabla ya baraka za Mungu kupitia viongozi wa dini. Hii kitu itatafuna ndoa nyingi.Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.