Alinitoa uanawali wangu

Alinitoa uanawali wangu

Ni dhahiri ulimkubali huyo alokuoa kwa vile tu alikutokea na kukuambia atakuoa na wewe ndo ilikuwa kiu yako kuolewa, ila hukuangalia moyo wako unataka nini, ni wakati sasa wa kushikilia ulichonacho ili usijepoteza vyote!
 
we mkali, ila jiangalie. Akina uwazi, komedi na wengne naona wako mlangoni kwako...
 
Kuna albino anaitwa idd amepotea katika mazingira ya kutatanisha,ukisikia watu wanapeana mkono wa idd nipigie simu haraka wakamatwe.
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Umalaya tu unakusumbua.
 
mgekuwa mnapendana si ndio mngeoana?mnatamaniana nyie tu
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Haujatulia wewe...........,kwnini uliolewa na uyu wa sasa?Nahisi tayari ushamvulia pichu kwa mara nyingine huyu wa zamani.
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Kama alikuwa anakupenda kwa nini hakukuoa, huyo anakutamani tu wala hakupendi, umeshawahi kuona dume la ng'ombe lilivyo na tamaa hadi linampanda na mamaye ndivyo alivyo huyo unayemsifia.Unacheza na feelings za mwenzi wako siku akikukamata na akakuacha ndiyo utajua huyo jamaa yako alikuwa anakutamani tu na sio kukupenda.We endelea tu na ujinga wako kwani mambo kama hayo yalishawakuta wenzako na matokeo yake waliyaona.
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Eti huyo nae ni mke wa mtu halafu tunasema Tanzania bila ukimwi inawezekana!Mke kama huyu ni janga ktk ndoa.
 
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.

Ameoa na mimi nimeolewa.

Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.

Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?
Huu si uzinzi tu,maana we umeshaolewa sasa unataka kumuacha yupi tena??Au sijakuelewa.
 
Pole sana...kuolewa mwisho mara ngapi? Au nimesahau mambo ya kidigitali?

hahahahaaha, iko hivi penzi la kweli hua halifi hata watengane sijui wasionane labda mmoja afe

chakukusaidia dada yangu chagua moja kati ya mawili

1. Uvunje ndoa yako uolewe upya na uishik kwa amani
2. Endelea na ndoa yako ya sasa, hayo maumvu uliyonayo vumilia tu
 
Hivi umewaza nini hadi kuja kuniexpose mtandaoni? utafaidika nini? unataka nijuutie Kukutoa uanawali wako? Unawaambia wasomaji ili wakusaidie nini? Pia umejuaje kuwa nakupenda kuliko wandani wangu? kama unanipenda kuliko wandani wako kivyako me sivyo
 
Back
Top Bottom