Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Nimekuelewa sana
 
I don't hit and run(atleast not anymore)
Nipo kwenye relationship(s) lakini nakua muwazi tangia mwanzo kua sihitaji a serious relationship
Inanikumbusha mbali pale nilipokuja kugundua demu wangu ambaye alikuwa tegemeo la kuwa Mke dingi MDOGO anakula tens anapewa airtime ya kutosha kuliko Mimi. Mdingi ikawa nimekutana na Mkwe anakusalimia kumbe katoka kupiga mechi yaani inaumaaa. Sema wazo la tigo halikuwepo ningefumua marinda. Mdingi mpaka Leo haziivi
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ni ww unaongea haya maneno i can't believe,kwahiyo mnapochepuka mnaenda kufumuliwa marinda[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ni ww unaongea haya maneno i can't believe,kwahiyo mnapochepuka mnaenda kufumuliwa marinda[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mume wa ndoa, mume mtarajiwa siwezi kuwaomba waniingilie nyuma, ila mchepuko, nampa tu.
Kwani kuna ajabu atlas copco?
 
Umgemfanyia (hata kumuua) but kumsodomize ni dhambi kubwa. Believe me, watarithi watoto wako
 
Mume wa ndoa, mume mtarajiwa siwezi kuwaomba waniingilie nyuma, ila mchepuko, nampa tu.
Kwani kuna ajabu atlas copco?
Maneno mazito hayo Madame B mpaka ardhi inatikisika unapoyatamka,kwa style hii hata kuoa inabid uogope,unaoa mwanamke unamwamini kumbe tigo imeshatumika vibaya siku ya siku anakumbuka pori lake aiseee
 
Makosa uliyaanza mwenyewe. Wanaume wengi wanadhani mwanamke ni mtu wa kawaida tu na wanaanza kuwapa power ktk miradi zao za kiuchumi. Fikiri km angekuwa mtu wa kawaida asingekuja kuishi kwako afu we umtawale maisha yake yote hatimae anazikwa kwako. Wanawake wanajijua vizuri sana kuwa wao hawajiwezi yaani wao ni km watoto wadogo tu wanaohitaji uangalizi wa hali ya juu sana toka kwa mwanaume aliepewa cheo cha kuwa mume. Bila mume mwanamke huvutwa na upepo wowote wa wapita njia tu. Sasa unapomkabidhi miradi mtu huyu alie km mtt maanake umeharibu kabisa, sisemi msiwakabidhi miradi ila uwe unamfatilia nyendo zake kila saa km tunavofanya kwa vibarua wetu hakikisha uwe mlinzi wake. Ukimwachilia atapotea na wao hawajui km wamepotea, sasa unapomwadhibu ni km unamchoma mikono mtoto wako aliekuuibia maandazi. Dawa pekee ya makosa ya usaliti ni kumsamehe tu na km humtaki basi oa mwingine lakini ukijua kuwa umeoa mtu anaefanana na mtoto kitabia. Samaki hukunjwa akiwa mbichi. Mtoto/mke bora ni yule uliemlea ktk maadili mema
 
Kuna siri kubwa na si rahisi kwa mtu yeyote wa nje kuweza kuelewa wanandoa au wachumba mitihani wanayopitia..anyway japo maamuzi uliyochukua ni magumu lakini kwa namna moja ama nyingine moyo wako una amani! Na nyie wanawake kha!! mbona hamtutakii mema aisee
 
Pole sana wanawake kuna muda hatueleweki tunataka nini, mtu kakupa kila kitu anakuonyesha mapenzi yote lakini unamsaliti sijui huwa ni pepo gani aisee

Me nimemlea na kumsomesha now anaishi vizuri na maisha mazuri....kwa ajilibyangu juzi nimetumiwa na message na mwanaume anamlaa na proof akanitumia hapa nimechanganyikiwaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…