Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

wanawake ni marafiki wakubwa wa mashetani,dhambi ilipitia kwa nyoka naye nyoka akamfuata mwanamke,mwanamke sio wa kuamini hata akiwa mama yako,wanawake ni mapepo ndio maana hata ktk maombezi ni wao hutokwa na mapepo sana sbb ni marafiki wa mapepo ,mimi napokea ushauri wa mwanamke ila nauchuja mara 70,wanawake si watu ni mawakala wa shetani.
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Mmmmhhh! Kweli tuangalie vyanzo na tu balance story na sio kuhukumu upande mmoja bila kusikiliza upande Wa pili mahusihano ni zaidi ya Mali na maitaji ya kawaida yoyote anapewa Ila kuna UPENDO WA DHATI
 

Who copied..?? Which stuff was copied fafanua.?
Hii story nilishawai kuisoma sehemu,tena kipindi cha nyuma,hata leo nimeisoma kdgo tu nikaikumbka yte,kama kweli ni yakwake basi imemtokea siku nyingi na kuna sehemu tayari alishaiandika.
 
You made a little bit of sense, ila kumshawishi kumwingilia kinyume na maumbile kama kulipa kisasi wasn't fair kabisa .Kumbuka ilisemwa " kama unavyofanya nawe utafanyiwa tu".
Kama sio kwako ata kwa mtoto wako
 
we nae..
watu wanaleta story tujifunze
na tubadilike walau tuishi maisha yakutusogezea siku kadhaa..

we utishia kuleta story
ya kutuUA..

Uanze wewe...
Nimecheka mpaka abiria wenzangu wananishaangaa jf rahaaaaa sana!asante nimepunguza msongo Wa mawazo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Safi sana,kuna watu wanachukulia suala la usaliti ni suala dogo,na wanavyochukulia wanadhani ni suala la kawaida,kikubwa watu tunatakiwa tuelewe usaliti ni mbaya,kwani unaoifanya usaliti na mwenzako akajua humpa mawazo mengi ikiwa ni jinsi ambavyo anaonwa na yule unayefanya nae usaliti,jamii inavyomchukulia,ndugu na majamaa wanavyomchukulia n.k.Tusipokua makini mauaji,na baadhi ya visasi vingine vitaendelea tu,kwasababu watu wanajifanya vichwa ngumu,kama hauko tayari kuoa usioe na halikadhalika kama hauko tayari kuolewa usiolewe tu,hii itakutunzia heshima,nakukuepusha na mambo mengine.
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Kwanini nawewe uwe na mahusiano na mume wa mtu,hufikirii kua na huyo mkewe alipendwa kama wewe lakini leo anataka kukupa gari,akikuchoka nawewe atakunyang'anya.... think twice.
 
Mmmh nikiona mwanamke anapendwa na kupewa care ya hali ya juu lkn hajali hua naumia sana.... wengine ata kumi hatupewi, unaumizwa lkn bado hufikirii fanya huo ujinga but all in all maisha ndivyo yalivyo
Yaaaaniiiii! AMAKWELI PENYEMITI HAKUNA UJENZI
 
duuu pole forgive n forget ingawa ni ngumu muusishe na mungu kidogo huo mzigo ni mkubwa
 

Ni kasamehe, kusahau yalikuumiza na kusonga mbele.
(''forgive, forget and let it pass'')
 
I don't hit and run(atleast not anymore)
Nipo kwenye relationship(s) lakini nakua muwazi tangia mwanzo kua sihitaji a serious relationship
HAPA UMEONGEA POINT SANA
 
Mwenzio hakupenda, kumbuka jamaa kasema ameomba kufanya vile kwa siku mbili, ili alipe kisasi.
Ningekuwa mimi wala nisingejuta.
Anajuaje kama na mimi nje nilifata kuliwa tigo?

Huyo mwanamke ni geresha tu kumkatalia kuliwa, ila % nyingi ya sisi wachekupaji tunafata kuliwa tigo.
Tigo ina utamu wake...haramu tamu, we angalia nyama ya kitimoto.
Haramu lakini tamu sana.

Hajamkomoa kwa maana wanaume duniani hawajaisha.
 
Ahaaa kumbe![emoji15]
Ndio nalijua hili leo, mimi huwaonea huruma kumbe mwapenda!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…