Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Mkuu nakuona mjanja kumbe muoga hivyooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]mkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa
>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa
maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.
Uwiiiii!! Yaani sikipendi hicho kitu acha kabisa. Naijazaga huku nimenuna utadhani nimeshikiwa bunduki.
uking'atwa na nyoka, hata unyasi ukikugusa lazima urudi nyuma.Mkuu nakuona mjanja kumbe muoga hivyooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
tena sana yaani aisee!!!!haya ila wanaume mkisalitiwa mnaumia sana teh pole though
ndiyo maana tunawasaliti kwa siritena sana yaani aisee!!!!
Acha uoga mwanaume, yeboooouking'atwa na nyoka, hata unyasi ukikugusa lazima urudi nyuma.
We ulivozaa na dingi yakeJamani wanaume kuweni na moyo wa kiume Tafadhali...
hizi revenge za makalioni zinasikitisha Sana.
sijakuelewaWe ulivozaa na dingi yake
Umeshasahau?sijakuelewa
sijazaa bado ndo mana sielewiUmeshasahau?
hahhaha nimependa hiyo beat n aujumbe wake,,, nimedownlod fastaaa
I see, nowdays I have got your attention, you steps on my footprintsAcha uoga mwanaume, yeboooo
hahha imagineee...Ukuta tu umenisiaimua hapo, japo unamoyo ndugu yangu unashuhidia jamaa ana kiss alafu unakaa kimya kweli?
What's wrong guy?I see, nowdays I have got your attention, you steps on my footprints
Mkuu kweli nyoka ni wengi ila hutofautiana sumu[emoji23]Kwahio revenge yako ni kumla tigo tu na kumwacha?! Wewe una huruma sana.
thaaatasa THE WORST PART!Duuuh..!!! The best revenge ni kusamehe, natamani swala la kusahau lingekua ni la ihari. Unaweza ukasamehe ila kumbukumbu zitabaki kumuumiza mtu moyo
MAIGIZO KAOLE IKASOME!Tatizo linakuja pale unapomuamini sana MTU alafu inakuja kugundua anakufanyia maigizo
pole kwa uwoga,mkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa
>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa
maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.