mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto........
Je, nifanyeje kuepuka hili?
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.
Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.
Je, nifanyeje kuepuka hili?
tuna kampun inadonate mbegu..mtaani kwenu hakuna wateja?ha ha ha ah we ulikosea angetakiwa kukulipa kwa kumpa mbegu.. sasa unatoa mbegu bure tu basi oa
hamtaki na mayai?tuna kampun inadonate mbegu..mtaani kwenu hakuna wateja?
CC Sky EclatUshauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.
Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.
Je, nifanyeje kuepuka hili?
nyie mnatoa myai?hamtaki na mayai?
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.
Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.
Je, nifanyeje kuepuka hili?
Aisee, ulifanya mapenzi na dada yako? Hiyo ni laana mkuu!