Alinilazimisha nitoe mimba

Alinilazimisha nitoe mimba

Nilikuwa na mpenzi wangu miezi miwili kabla ya tarehe tuliyopanga wazazi wake waje kujitambulisha nikapata ujauzito wake.

Hapo ndipo nikamfahamu alivyo, alinilazimisha nitoe mimba nilivyo kataa akaniambia "kama mimba ni yangu lazima utoe usipotoa ni ujeuri wako labda kama una jamaa mwingine umezaa naye".

Alinitukana sana mimba ilikuwa inasumbua nalazwa hospital karibu kila week hakujali wazazi wake walijaribu kumshauri ikashindikana kwakuwa hatujawahi gombana.

Nikakubaliana na hali nakukubali kibuti, katika kugombana nikagundua nimshirikina kupindukia na nimganga wakienyeji anaagua kabisa na nimsomi wa chuo kikuu kaajiriwa ni mwalimu.

Alishaniomba msamaha sana turudiane ila kwa tabia zake moyo wangu umemchukia nakumfuta kabisa.

Ila naumia je mtoto wangu huyu nlozaa hata akiwa mkubwa akitaka kwenda kumsalimu baba yake huyu mwalimu a.k.a mganga wa kienyeji hawezi kumfanyia mambo mabaya na hivi hakutaka azaliwe.

Maskini binti yangu ninavyompenda.

muwe mnajiangalia kwanza aisee,hadi watu wanakuja kujitambulisha ulikuwa hujafahamu tu jinsi alivyo?wengine wachawi,ualimu ni cover tu
 
Nilikuwa na mpenzi wangu miezi miwili kabla ya tarehe tuliyopanga wazazi wake waje kujitambulisha nikapata ujauzito wake.

Hapo ndipo nikamfahamu alivyo, alinilazimisha nitoe mimba nilivyo kataa akaniambia "kama mimba ni yangu lazima utoe usipotoa ni ujeuri wako labda kama una jamaa mwingine umezaa naye".

Alinitukana sana mimba ilikuwa inasumbua nalazwa hospital karibu kila week hakujali wazazi wake walijaribu kumshauri ikashindikana kwakuwa hatujawahi gombana.

Nikakubaliana na hali nakukubali kibuti, katika kugombana nikagundua nimshirikina kupindukia na nimganga wakienyeji anaagua kabisa na nimsomi wa chuo kikuu kaajiriwa ni mwalimu.

Alishaniomba msamaha sana turudiane ila kwa tabia zake moyo wangu umemchukia nakumfuta kabisa.

Ila naumia je mtoto wangu huyu nlozaa hata akiwa mkubwa akitaka kwenda kumsalimu baba yake huyu mwalimu a.k.a mganga wa kienyeji hawezi kumfanyia mambo mabaya na hivi hakutaka azaliwe.

Maskini binti yangu ninavyompenda.
HUYO JAMAA HAITWI oOMARI KWELI ALISOMA CHUO MAARUFU HAPA MUJINI
 
mama facebook mtoto kashazaliwa anakimbia nakuongea. ila siku yakujitambulisha ilikuwa bado hivyo tulivyogombana hakufika kwetu tena yaliiashia hapo
 
Usimpeleke huko!.nina mtoto wa uncle wangu upande wa mum wake wanamambo kama hayo kumbe akiwa mdogo cjui walimlisha v2 gan sisi 2kachukua mtoto akiwa na miaka 3 coz hajafunga ndoa na huyo uncle wangu sahv mtoto anasumbua mara akimbie aende makaburn,.anasema kuna wat wanamlazimisha kula nyama za wat sahv ni maombi 2 n anaendelea vzr
 
Haisee huwezi kuikwepa mikono ya mganga. Hajakuhitaji bado. Akikuhitaji tu lazima umfate mwenyewe.
 
Kwanza pole, nimejitahidi kukuelewa ulichotaka kukielezea.

Ila hivi inakuwaje unakuwa na mahusiano na mtu ambae hujajua hata mambo ya msingi kwake mf. Kazi, anakotokea n.k.


La mwisho uchawi ni imani inayorithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwenye familia za wachawi. Ili kumuepusha mwanao mpeleke kwenye maombi sababu kama hautafanya hivo eidha watamrithisha au watamua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom