STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Kijana naona una hamu ya kutumiwa jini makatahapa kung fu imejaa game mpk itaeleweka wivu wa nini si umeshapewa mke..? ukifanya hivyo we ndo jambazi... ha ha ha
Kijana naona una hamu ya kutumiwa jini makatahapa kung fu imejaa game mpk itaeleweka wivu wa nini si umeshapewa mke..? ukifanya hivyo we ndo jambazi... ha ha ha
ha ha haKijana naona una hamu ya kutumiwa jini makata
hapo inabidi akuombe msaha haraka sanaKijana!! Umeshawahi kutumiwa jini ukaanza kulia kama mbuzi??
Wee muache, si ana hamu ya kula majani ya mpapai??hapo inabidi akuombe msaha haraka sana
HAHAHA SCRIPT ISHAANDIKWA SASAStory nzuri, huko mbele naomba nikutane na pedeshee papaa manoti, namie yaninyookee nimsahau cha umbea STUNTER
Hiyo Script inaonyesha utakutana na Miss Chaga akuchune vihela vyote na kazi ufukuzwe halafu utarudi kwa Evelyn Salt kulialiaHAHAHA SCRIPT ISHAANDIKWA SASA