Alinificha Kama ana mtoto, sasa nimejua.

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,563
Reaction score
5,170
Wanajukwaa yamenikuta, nipo Wilaya moja hv, sasa wakati nafika huku nilitfikia kwa mshikaji wangu ambapo pembeni kidogo alikuwepo dada mmoja. Kwakuwa age yangu imeenda na kwakuwa najijua mwenyewe hasa linapokuja swala la kupenda kugegeda basi nikasema Ni mhimu nipate jiko ili niachane na maisha ya ujana.

Basi huyu dada nikamfatilia Sana Ni bonge la fighter na ana sifa zote za mwanamke ambaye wengi tunatamani kuishi naye hasa kwenye kutunza nyumba. Of course kulikuwa na tatzo la background yake lakini baada ya kumcheki afya tukawa tupo poa nakajipa moyo kuwa nitambadilisha na kweli kidogo kidogo alikuwa ameanza kubadilika, japo kiukweli background yake Ni mbaya mno kwa ufupi ni Kama alikuwa anauza tu maana alikuwa na watu kibao vikiwemo vibabu.Lakini hiyo haikuwa issue maana hata Mimi ninayo yakwangu. Kiufupi kulikuwa na Mgongano wa hapa na hapa kutokana na wakati mwingine kuendelea kuwasiliana na watu wake japo Sina ushahidi wa kuchepuka tangu awe nami.

Tatzo likaanza nilipomtarifu bi mkubwa juu ya mtu huyu, bi mkubwa aligoma hadi muda huu kaninunia.
Sasa Basi Leo nimepekua simu yake, haikuwa tabia yangu, nimekutana na charting yake na mwanaume mmoja ambaye ndio amezaa naye mtoto wa kike, kwakweli nilikuwa na mashaka hasa kila nikiangalia tumbo lake, lakini sikuwa na ushahidi, Mimi mwenyewe nina mtoto Ila nilimtarifu on the first day na nikamwambia nataka anavoamua kuishi na Mimi alijue hilo asije akashangaa siku akimuona huyo mtoto, na nikamwambia Kama ana Jambo la nyuma ambalo Ni kubwa anieleze lisije kuleta shida, akasema hakuna.

Kiukweli huyu dada Ni bonge la mama kwa majukumuu ya nyumbani na Ni fighter lakini hapo juzi Kati nimefika kwao maisha siyo mazuri kiasi kwamba namuonea huruma na hili ni moja ya sababu zinanifanya hadi muda huu Nishindwe Cha kufanya.

Nilikuwa nafikiria jambo moja, nataka nimpe TSH.700000 na nimpatie laini moja ya M-PESA akaanze maisha mapya na kwakuwa hadi mda huu ana ujauzito wa miezi miwili na ushee, nipo tayari kumpa ushirikiano Kama ataamua kuzaa, mtihani pekee nilionao ni namna ya kumuondoa hapa kwangu, maana tunavyoongea yupo jikoni anakaangiza na niwe mkweli roho inaniuma nimekosa raha hata yeye ameliona japo hajui sababu ni nini na kinachoniuma ni maisha aliyopitia ni magumu Sana mno, lakini hili la kuwa na mtoto na kunificha naona Kama siwezi kumsaidia. Wadau ushauri wenu tafadhali!
 
Sasa MKUU wote hapo mna watoto, tatizo nini!. Sasa wewe mpige chini huyo ili uje uoe jini.
 
Ukaona hiyo issue nikubwa sanaa ukaifungilie uzi......wanaume wasiku hizi ni hovyo sanaaa hatakujisimamia sufuri hawawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya tathmini ya matokeo ya maamuzi unayotaka kuyafanya.

Ukiona matokeo chanya yatakuwa makubwa basi fanya.

Ukiona matokeo hasi yatakuwa makubwa basi usifanye.
Hapo sasa umeshauri mkuu!
 
Eboh!! Sasa kama tabia zilikuwa kama ulivyosema...ulitegemea zisiwe na matunda!!!!
Endelea nae. Tena na wewe ushatumbukiza chako, unataka nani akalee kama wewe umeshindwa.
 
Swala la kulea mkuu kama yupo tayari kuzaa nitahakikisha nashiriki kikamilifu, hata huyu mwingine nashiriki vizuri na ananitambua Kama Dingi Dingili wake!
 
Mwambie ukweli kuwa amekukera na kuficha kuwa ana mtoto,Lakini nahisi aliogopa hutafikia hatua yakutaka kumuoa ukisikia amezaa na mtu mwingine!
 
Back
Top Bottom