Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,961
- 142,148
why does somebody stalk you??
In my understanding he/she is interested/still cares/inlove
if they stalk and find its gloomy,umepauka pauka tu maisha yanaonekana mabaya on ur side that makes them happy,,,
now if u wanna be the winner here give them something to feel jealous about...like keep having ur full life even when they are not there,not necessarily flirtin wt other people but js live on the ppositive side,usiwe umepauka pauka tu na huzuni all the time kisa mtu...mara nyingi hata mi nikimfanyia mtu ubaya afu nikamuona like hajali hivi,roho huwa inaumaa,na kusema siwezi..so i guess it has a similar effect kwa wengine
Ila thts js my view of what to do to a stalker... Sijui umenipata walau saivi?
Got ya!
So I guess "Living well is the best revenge" encapsulates your viewpoint.
Sikiliza wewe hilo ni bomu la nyuklia, ni muharibifu mblock kabisa kama hautaki mawasiliano naye na una nia ya kweli ya kufunga ndoa mwakani.
Alikuwa antest flavour ameona flavour yako kali; ndio maana anataka kurudi kwako! Haihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuchukua maamuzi. Uamuzi unao mikononi mwako.Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu.Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa.Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much,mara ur one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimic sana juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya,baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.
Nimekopi na kupaste ushauri wako na nimemtumia.Mwambie ctaki unipigie cm kwasababu sikupendi tena na sipendi kusikia sauti yako unanikeraaa
njia rahisi ni kumblock au kunadilisha line ya simu,coz huyo hana jipya ila anataka kulipiza kisasi tu.
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu.Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa.Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much,mara ur one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimic sana juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya,baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.
Nimekopi na kupaste ushauri wako na nimemtumia.
being real and happy with ya life,full matukio social medias roho imuume ur happy hata bila yeye..

happy eid hny