Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua sana,
Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
Pia mama yake alikuwa amelazwa nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa, Ikabidi mimi nirudie kupima cause nilimgegeda dry lakini bado majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja nirudi tena, Nlikuwa na wakati mgumu sana ila baada ya kupima tena nilikuwa safi,
huyu mzazi mwenzangu niliamua kuwa nae karibu nimfariji,
Kero sasa nisipompigia simu au nisipopokea simu yake analalama sana kuwa namfanyia hivyo kisa ana VVU, mimi najitahidi kumjali ila wapi nahisi nafsi yangu inaanza kumchukia please my lord hold me ila jamani hi inaudhi sana.......!