omben JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 823 Reaction score 480 Dec 4, 2013 #1 Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli Attachments 1386150515759.jpg 67 KB · Views: 279
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 4, 2013 #2 napita.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Dec 4, 2013 #3 Eeeeh !
omben JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 823 Reaction score 480 Dec 4, 2013 Thread starter #4 kabanga said: napita.... Click to expand... Unaelekea wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,373 Reaction score 4,141 Dec 4, 2013 #5 Yaani unamaana kuwa misafara yake ilikuwa ni ya baiskeli au?
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,964 Reaction score 8,637 Dec 4, 2013 #6 Kwani alikuwa anaenda wapi na baisikeli?
omben JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 823 Reaction score 480 Dec 4, 2013 Thread starter #7 Alikuwa akielekea shambani.
kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,940 Reaction score 7,849 Dec 4, 2013 #8 omben said: Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli Click to expand... Alikua hapendi makuu kiasi hata hakujifunza kuendesha gari. Halafu sikumbuki kama jkn aliwahi kua na motokari yake binafsi.
omben said: Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli Click to expand... Alikua hapendi makuu kiasi hata hakujifunza kuendesha gari. Halafu sikumbuki kama jkn aliwahi kua na motokari yake binafsi.
K kipimo JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 828 Reaction score 118 Dec 4, 2013 #9 Renegade said: Kwani alikuwa anaenda wapi na baisikeli? Click to expand... kwa hili, hata kama alikuwa akielekea uwanjani, bado ni wa pekee sana!
Renegade said: Kwani alikuwa anaenda wapi na baisikeli? Click to expand... kwa hili, hata kama alikuwa akielekea uwanjani, bado ni wa pekee sana!
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Dec 4, 2013 #10 Viwanja vya ikulu hapo anafanya mazoezi...