Alikuwa binadamu kweli?

Kama huamini basi
Mtu tumepanda mpaka daladala wote..tumekula wote
Anampigia simu bi mkubwa kumbe anaoga anapokea mzee kwa hofu baada ya kusikia besi anakata hahaa anakuja kunisimulia huku anatetemeka
Ni baadhi ya moment nilizopitia nae
mmh vile Mimi siamini katika mambo ya majini uchawi and the likes naona Labda hapo kwenye nyumba walikunyima tu details Labda ulikuta watu ambao na wao walihamia
 
Yah yanakuwa kama mazingaobwe maana wao wanauwezo wa kucheza na akili zetu.Hukuwa kusikia Kile kisa cha driver Tax aliyekuwa anampeleka mteja wake kigamboni usiku wa manane, wakati feri haifanyi kazi
 
Kabla hamja 'frustrate' na kupotezeana kuna kipengele umeki'hide', mliwahi ku desh desh?

Tuanzie na hapo kwanza.
 

Hayo mambo yapo ,umenikumbusha Movie niliiona miaka zamani Star Tv au ITV - Angel of Destiny.

 
Anaweza kuwa sio human being

Mana wanaweza kuishi kupitia roho za watu.
Mwaka Jana nilisikia kwa story za radio mtu Kama wewe alipelekwa kwa pagala tu lkn yeye aliona nyumba nzuri tu.

Usiogope bhna zidi katika maombi.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana ulisahau ukachanganya nyumba. Kuna baadhi ya mitaa imefanana sana
Chief wewe utakuwa karibu sana na ukweli kama mtoa mada atakuwa ni mkweli pia.

Visa vya Majini vipo na watu wanasoma na majini na kuishi nayo miaka na mikaka. Ila hili tukio, ngoja nirudi kwenye makabrasha yangu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…