Au yule kijana aliwaambia watu wa hile nyumba wakati anahama asitaje anapohamia mtu yoyote akijauliziaUnaweza kuishi mahala kwa zaidi ya miaka mitano na nyumba ni yenu mmejenga.unaishi na wazazi wako na wadogo zako wengi tu ila siku mtu akina mtaani anawaulizia hata nyumba zinazopakana wanasema hawajawahi kuishi watu hao hapo?
Wadogo zako qanasoma shule za Kara maeneo hayohayo bado watu hawawajui.
Email address yake si unayo ulishatuma msg tena au umeipoteza? Kama unayo unaweza angalia details zake na ip address yake kwa watu IT expert kumchunguza zaidiHapana.hatukuwahi
Habari Abigail!Zamani kidogo.ila kumbukumbu ya matukio hayafutiki.
Itakuwa hivoAu yule kijana aliwaambia watu wa hile nyumba wakati anahama asitaje anapohamia mtu yoyote akijaulizia
Sina mkuuEmail address yake si unayo ulishatuma msg tena au umeipoteza? Kama unayo unaweza angalia details zake na ip address yake kwa watu IT expert kumchunguza zaidi
Ilikuaje mkuu..tupe mbili tatu tafadhari..Hakua Binadamu, na Una bahati, na uache kumfikilia..,.... Ili hiyo Bahati kidogo uliyonayo isije kupotea, ukajuta kuzaliwa....... Mm ni Muhanga, kila ulichosema was the same Kwangu, but Mm nilijua baada ya kuwa nimeumia tayari.
Sikumbuki Mara ya mwisho kumuota mkuuHabari Abigail!
Unaweza ukaeleza ktk ndoto huwa unamuotaje?
Ukilala huwa unaotaga ata mambo yako mengine?Sikumbuki Mara ya mwisho kumuota mkuu
AsanteDuh! poleee
Ila usiwaze sana kwa kuwa hukushiriki nae tendo la ndoa ingekua worse zaidi, we ni dini gani nikushauri kituSina mkuu
Share story yako ili isaidie pia kutufungua machoHakua Binadamu, na Una bahati, na uache kumfikilia..,.... Ili hiyo Bahati kidogo uliyonayo isije kupotea, ukajuta kuzaliwa....... Mm ni Muhanga, kila ulichosema was the same Kwangu, but Mm nilijua baada ya kuwa nimeumia tayari.
ChristianIla usiwaze sana kwa kuwa hukushiriki nae tendo la ndoa ingekua worse zaidi, we ni dini gani nikushauri kitu
Alikua anatarajia kuanza mwaka wa tatuPole sana Mkuu,
Kipindi mnatofautina na Jimmson Henry alikuwa tayari kamaliza shahada yake ya kwanza?
Matukio ya hivi nishasikia mara kadhaa kwny simulizi kwa redio za dini.Itakuwa hivo
Ila sasa nawaza kawaambia mtaa mzima?
HadI maduka majirani
Hata kama wasiseme alipoenda je wakane pia hawamjui kabisa??
Hivi unaweza kuwa na rafiki ako mliszoeana mpotezane halafu uambiwe hakuna binadamu wa kawaida?
Huwa naota jambo ambalo Linaweza kutokea kesho yake.. Na baadhi huwa yamatokea kama nlivooteshwa.na mambo yangu piaUkilala huwa unaotaga ata mambo yako mengine?
Kama huamini basiWew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
Ni binadamu wa kawaidaKama ni jini inawezekana bado upo kwny target yake.
Pia ujue mikasa ya rohoni inasuluhishwa rohoni. Ni vzr ukitafuta kuondokana naye