Alikula kiapo akinisaliti afe, Ila bado nina mashaka

Alikula kiapo akinisaliti afe, Ila bado nina mashaka

Unanunua shamba la mgogoro na upo hapa jf sad unamana gani kuwa jf huku jambo Hilo likiwa limejadiliwa
Huwa wanajitetea sana hapa kwamba masingle mother sio mapacha,wakimaanisha tabia zao hazifanani.
 
Nimeliona hilo Mkuu nataka nitafute kishusha bp na sukari (Mchepuko),hata Kama ni gharama lakini ni afadhali kuliko haya ni yanayokuja,naamini wanaofanya maamuzi magumu wanakuwa hawajagundua tiba ya tatizo.
Dah!...kuwa makini na maamuzi yako boss.
 
Nilimwambia hivyo,majjbu yake eti namuonea na nikimuacha tu nijiandae kuzika wawili kwa wakati mmoja,yeye na mtoto wetu,na hii kauli huwa anairudia mara kadhaa kila ikitokea tofauti kati yetu,Sasa sijui ni mikwara au ni kweli anaweza kufanya hivyo.
Anatishia nyau, akijiuwa na mtoto abeve dhambi zake, wewe utaoa tena na mtoto utapata mwingine.

Mwambie akiua mtoto wako, na wake atakuwa yatima kama anataka kujiua afanye haraka.
.mwanamke wa kutishia kuua hafai na atakuja kukuua wewe ili mkose wote. Kuwa na msimamo

Kama hataki kufanya unavyo taka, anza kumpotezea kwenye manbo ya sex. Tafuta mchepuko Kichoka aende mwenyewe. Yaan huyo mwanamke atakuja kukuua na ushaidi ukosekane
 
Umeoa mke wa mtu unataka tukusaidieje bwana mdogo? Wanaume tulishakubaliana single mother si wakuoa we kiherere ulipata wapi? Haya sasa hangaika na zigo lako utajua mwenyewe. Single mother anaolewa na mtu mzima aliyefiwa na mke sio kijana tena na hapo uhakikishe baba mtu kafa au kafungwa jela maisha achaga ujinga
Alikuwa bado ajajiunga na JF msamehe tu mkuu
 
Mambo mengine Ni yakujipa stress za bure.

Unaweza ukamchunga asiwasiliane na mzazi mwenza, alaf akagawa kwa Jiran.

Hebu Jenga familia Kama Baba.

Acha uoga na kumfuatilia Mkeo namna hiyo...
Kabisa
 
Anatishia nyau, akijiuwa na mtoto abeve dhambi zake, wewe utaoa tena na mtoto utapata mwingine.

Mwambie akiua mtoto wako, na wake atakuwa yatima kama anataka kujiua afanye haraka.
.mwanamke wa kutishia kuua hafai na atakuja kukuua wewe ili mkose wote. Kuwa na msimamo

Kama hataki kufanya unavyo taka, anza kumpotezea kwenye manbo ya sex. Tafuta mchepuko Kichoka aende mwenyewe. Yaan huyo mwanamke atakuja kukuua na ushaidi ukosekane
Huwa namwambia maneno huumba usipende kutajataja kujiua,lakini ndio hivyo hanielewi kabisa,nilimwambia kama huwezi kufuata masharti yangu basi kuanzia sasa nipo tayari kushea na mwenzangu ila sipo tayari kusex peku nitavaa mipira milele huyo mtoto mmoja ananitosha.
 
Pole mko wawili mkuu. Kubali tu hilo.

Kwani akikusaliti atakua tayari kufa kweli!? Unakujua kufa wewe, hiyo katu hawezi kufanya ujinga huo!!.

Ungekomalia tu pesa zitumwe kwao, la sivyo huyo mkeo soon atapasha kiporo ama lah ashapasha tayari mara kibao.
 
hapa jirani namuona single maza yani anakichunga hiki kitoto utasema kilimkuta bikra,yaani kitoto hakipumui ani
 
Watu mna mioyo sana kijana kuoa single mother kabsa!!?
Binafsi mm kabla sijaoa kwanza kabla sijatongoza lilikuwa je una mtoto ndo lilikuwa swali langu la kwanza nikisikia ana mtoto hata kumla nilikuwa siwezi,

Binafsi mm nina watoto na niliozaa nao wote hakuna mwenye ubavu wa kuninyima nikiomba hata kama kaolewa kwa ndoa.. Mke wa kuoa anatakiwa awe bikra ukikosa kabsa bikra tafute ambaye hajazaa ila haya magume gume mengine achana nayo yatakusababishia kifo cha mapema.
 
Pole mko wawili mkuu. Kubali tu hilo.

Kwani akikusaliti atakua tayari kufa kweli!? Unakujua kufa wewe, hiyo katu hawezi kufanya ujinga huo!!.

Ungekomalia tu pesa zitumwe kwao, la sivyo huyo mkeo soon atapasha kiporo ama lah ashapasha tayari mara kibao.
Amegoma kabisa hataki zitumwe kwao mkuu,ndoa imeingia doa.
 
Back
Top Bottom