Hapanshaka wameshamtumilia sasa wamemwacha tena juani...lol
Ameachwa njia panda.
yuko anapiga pre-form one cozi pale banana learning center.
Angeweza kluwasaidia sana kupambana na sumu ya udini wanayobambikiwa.
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Hivi jamani kwani Mheshimiwa Marehemu Simba wa vita alikuwa na elimu gani?
wapi katiba ya nchi ina-specify kuzuia makamu wa rais kuwa na elimu ya std 7?
Udini haupo Tz ni kiinimacho tu cha wajinga wachache na watu wanaowafuata kwa mafungu kama nyanya zipelekwazo mnadani.