Jamaa ilitakiwa wamshauri kiba atafute major hot song moja itakayomuweka kwenye ramani kama number one na number one remix iteke afrika alafu ndo aongeze biidi ili iwe rahis kuteka soko diamond sahiz hata atoe video mtu anakuwa na hamu ya kuifatilia ila ni ngumu mashabiki wote wa dar tena mchikichini youtube kwa manati kuwika afrika itachukua mda sna
Uko sahihi Mkuu wanamuonea sana huyu king wa daslam, yaani wanasababisha afanye muziki andapresha matokeo yake anaboronga.
Diamond intaneshnale buana alaa!
You said it all,alikiba anajilinganisha na daimond wakati daimond is another level,na katu hawezi kumfikia
Alikibakuli bila promo ya diamond saiz angekuwa weed
Well said!!naona huku kimya mashabiki wake!ujumbe umefika