pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,231
Nimekuwa nikifuatilia humu mitandaoni na kwenye media mbalimbali za Bongo ambapo naona kuna kitu hakifanyiki sawa na inabidi tume ya Fair competition iingilie kati.
Unakuta presenter kabisa anaacha kumshindanisha Alikiba na Ommy Dimpoz au Alikiba na Rich Mavoko ambao ndo levo moja ye anaenda kumlinganisha Alikiba na Diamond.
Siyo fair hata kidogo, sababu kwanza scale zao zipo tofauti sana,
Diamond focus yake kubwa na nia yake kubwa ni kujipambanua kama moja ya wasanii bora Africa, na ndo kitu ambacho anafight kila kikicha, na anatamani hata akikosa hilo walau awe ndo kinara wa East Africa na amefanikiwa kwa hilo leo Diamond ana fans all over the continent na haimuumizi kichwa kuwa atapata faida kwa kiasi chochote atakacho invest kwenye muziki wake.
Wakati Alikiba yeye ni Mwana Dar es salaam, focus yake kubwa ni kuteka jiji la Dar na viunga vyake na kama itatokea apate bahati basi ateke na Jiji la Mombasa na Nairobi kitu ambacho amefanikiwa sana. Na hakuna ubishi kuwa wanamuziki wengi ambao wanafocus ya kidar es salaam Kiba ndo king wao, ni kama leo eti mtu abishe kuwa Msaga sumu si king wa muziki wa Vigodoro.
Mtaji na uwekezaji anaofanya Diamond kwenye mziki wake ni tofauti kabisa na Alikiba na hii ni sawa sababu wanacheza katika playground tofauti kabisa, huhitaji investment kubwa sana kama lengo lako wewe ni Dar na ukizidi sana Nairobi bt kama unalengo la all major cities in Africa lazima vtu viwe tofauti.
So kumlinganisha Alikiba na Diamond ni kumkosea Diamond heshima na pia ni kumuumiza Alikiba.
Kwa nini nasema ni kumuumiza Alikiba??
Sababu Alikiba mwisho wa siku atajikuta anafanya biashara ya hasara sababu anaweza akajitutumua nae afanye video kali na ya gharama ili amfunike Diamond pasipo kuangalia soko lake kwa sasa lipo wapi? Kama alivyofanya kwa video ya mwana then akajikuta anashindwa hata tu kurudisha uwekezaji wake kwenye hiyo video sababu haswa haswa anategemea soko la ndani na hata akienda nje malipo yake ni finyu , video imegharimu pesa nyingi but imeshindwa kurudisha na hivyo kumsababisha ashindwe hata kutoa video ya wimbo wake huu mpya kwa wakati.
Na kumbe chanzo cha yote hayo na pressure yote ni hii unfair competition ambayo fans, media na wadau wengine wameiweka, na inamuumiza sana Alikiba sababu inamfanya aoperate ktk levo ambazo si zake. lukelo sakafu nifah hope mtapita hapa na kuwafikia walengwa wengine ujumbe huu.
#Saynotounfaircompetition