Alikiba umetuangusha watanzania

Hakika cute b umekuwa na umekua na busara sana. Hongera.
Mbona kama umeling'ang'ania jambo usilolijua?
Sasa mimi ndio ninayekwambia endelea kubishana na ukweli.
Mimi ndio ninayejua a to z sasa wew bisha simu yako bando lako.
Freedom
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama umeling'ang'ania jambo usilolijua?
Sasa mimi ndio ninayekwambia endelea kubishana na ukweli.
Mimi ndio ninayejua a to z sasa wew bisha simu yako bando lako.
Freedom
Aisee! Anyway, ahsante kwa taarifa and for that case am very sorry for Kiba kuona kumbe anaweza kushinikizwa na mashabiki wa Wema na akawatii na kuwasaliti mashabiki wake mwenyewe ambao kabla walimpongeza! Na kama ndivyo, basi hata ile show ya Mtwara inaelekea ama alishinikizwa na mashabiki wa Wema au Wema mwenyewe!

KWAHERI bibie!
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Mkuu hujafanya maamuzi magumu tu bado???
 
Watu kama hawa Wasanii,wala tusijisumbue ..Siasa Tarehe 25 October zitaishia hapo.halafu tutapambana nao huko. kwenye ku vote TUZO..tuwaombe tuu wasije kulalamika heti Wenzetu wa Nchi nyingine Wazalendo wanawapigia kura Wasanii wao sisi Watanzania hatuna Uzalendo...Tukutane .Kwenye Tuzo Wasanii.Ciao
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Shida yako umeingilia maisha yake binafsi ambayo anahaki ya kufanya maamuzi yeyote kama mwananchi wa nchi hii..
 
I mis you too my Diva Beyonce.
Siku hizi nikija humu sipati ladha kabisa.
Habari ni kiba na domo tuu
Mwenyewe mami zimesha ni bore hilo jukwaa enzi zake za ubuyu lilikuaga linanoga sana hawa wakata viuno habari zao siko interested nazo. Leo nimepitia accidentaly baada ya kuona comments yako
 
Last edited by a moderator:
Aachwe tu has no impact kwa mabadiliko mwaka huu lazima kieleweke. Kwangu sijawahi ona m wakitumia nguvu kubwa kama sasa
 
Back
Top Bottom