Wewe umezidi bhana, kila post wewe tu.... Unaboa bhana
Niliwapa changamoto hapa wanitajie mwaka huu tangu uanze wametumia shilingi ngapi kununua kazi za wasanii ili tuone uhalali wao wa kuwataka wasanii wasipige mchongo kwenye politics lakini kwa bahati mbaya hadi sasa sijapata jibu na sidhani kama nitapata!!!watu sijui wapoje yani unatokwa mapovu na msanii kupiga mishe zake, utafikiri wakiandaa show za kwao za laki moja hivii mtaenda kazi kutoa maneno ya shombo tu kutwa nzima upo jf kupiga domo unaona kama ndio umemsaidia msanii yani we ndio kila kitu kwake ukipiga na vikura vyako unaona we ndio kama Mungu kwake...
huo ni ushabiki maandazi kabisa, na ulimbukeni wa kisiasa kubalehe juzi na kupata kichinjio kisikufanye uwehuke kubali utofauti wa kiitikadi na uhuru wa kujieleza... Wengine wanasema support mabadiliko, si kila unachokiona bora wewe na mwenzio aone bora inamaana huyo Unaemtaka kuwa Raisi amekuja kutaka mabadiliko baada ya kukatwa, je Yeye ni Mzalendo kama unavyofikiri???
Sawa hebu niambie alishawahi kupiga show wapi ya siasa daimond alienda arusha na lowassa kiba ??Wengine walivyoshabikia Magufuri mliona wamekosea na hawajielewi!mkampamba kwa matarumbeta Allykiba kwamba ni mtu anayejielewa sasa leo veeepeeee?!
Hakuna cha clouds wala nini!hayo ni mapenzi yake binafsi na maamuzi yake bhaaas na wala hajahongwa wala kulazimishwa!Allykiba ni CCM.
Muwe munaweka akiba ya maneno jamani!ahahahaha
Ila Kiba nimemkubali ana IQ kubwaaa, kavizia cyber crime law imeanza kufanya kazi ndo katoa msimamo wake...Haya wale mdomo choo tukanenii lock up iwahusu...
watu sijui wapoje yani unatokwa mapovu na msanii kupiga mishe zake, utafikiri wakiandaa show za kwao za laki moja hivii mtaenda kazi kutoa maneno ya shombo tu kutwa nzima upo jf kupiga domo unaona kama ndio umemsaidia msanii yani we ndio kila kitu kwake ukipiga na vikura vyako unaona we ndio kama Mungu kwake...
huo ni ushabiki maandazi kabisa, na ulimbukeni wa kisiasa kubalehe juzi na kupata kichinjio kisikufanye uwehuke kubali utofauti wa kiitikadi na uhuru wa kujieleza... Wengine wanasema support mabadiliko, si kila unachokiona bora wewe na mwenzio aone bora inamaana huyo Unaemtaka kuwa Raisi amekuja kutaka mabadiliko baada ya kukatwa, je Yeye ni Mzalendo kama unavyofikiri???
akili huna unataka akushabikie ww muogo mchunguAlikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
ahahahaha ulijua ni MONDI tu aibu yakoUmetuangusha mashabiki wako na kutugawa wapenda mabadiliko.Mimi si shabiki wako tena....Asante
Kumbe anajielewa ndo mana na yeye kachukua mihela,kwa mara ya kwanza nampa hongera ya kuangalia maisha yake ya baadaeHapa nilipo mpaka natetemeka huenda kuna hacher wameiba password
Jinsi daimond alivyopost kuhusu ccm na kiba ni tofauti hamana kejeli wala vijembe kwa kiba na kiba sio ccm yule ni behind the scene utafanyaje wakati wao ndo wenye ukitaka kuamini hvyo hebu nitajie sehemu aliopiga show kiba ya siasa mwaka huu sema hana jinsi ni nguvu ya umma imemsukuma
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.