nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,735
Hii simu yako uliopigia hii picha lazima itakuwa tecno lile toleo la mabaamedi.Leo nilikua uwanja wa tabata shule kuangalia mechi za ligi ya mchangani..ALIKIBA nae alikicheza namba 9 kiukwel mpira anajua kucheza ila nilichoshangaa watu wala hawamshangai kama tulivozoea kwa mastaa wakionekana katika sehem za kawaida yan watu hata kuomba nae picha hakuna dah ikanishangaza sana nikajiuliza angekuja diamond pale uwanjan sijui kama pangechezeka.sas nikajiuliza hivi huyu jamaa sio super star?sikupata majibuView attachment 722540
Leo nimekuunga mkono kwa point yako hiyoAwe star au la tunampenda na mziki wake pia